Kwanini Benki za Tanzania hazina ATM machine za kuweka fedha

Kwanini Benki za Tanzania hazina ATM machine za kuweka fedha

Habari za mihangaiko wakuu,
Kwanini Tanzania hakuna ATM machine za kuweka fedha?
Tanzania umetembea mpaka wapi? CRDB pale Kijitonyama zilikuwepo toka 2013. Sasa hai hao CRDB wanekuletea mpaka ya kubadilishia pesa za kigen nadhan ipo moja USA River branch. Kama huko kweli Nangurukuru hamna usi-generalize nchi nzima. By the way ATM ya nn na unaweza kufanya transaction kwa simu kupitia wakala tu?
 
Zipo sema tu wewe kama mimi hatuamini kama zitafika tunapokusudia
 
Zipo mkuu labda wewe hujawahi kuziona na kuzitumia. NBC nimeona.
 
Yaani unaweka fedha kwenye Akaunti yako kupitia ATM?
 
Jinsi mawakala walivokuwa wengi kila uchochoro hizo ATM sijui kama zina umuhimu tena hasa!
 
Mumsaidie kuweka na picha usikute kakutana nayo ila akajua ni kolokolo la kuchezea kamali.
 
Back
Top Bottom