Kwanini bia ziuzwe ghali zaidi Dar es salaam kuliko mikoani?

Kwanini bia ziuzwe ghali zaidi Dar es salaam kuliko mikoani?

Mikoani Safari ni 1,500 huku Dar Safari ni 2,500 mpaka 3,000, WHY? Bia zote za TBL ni bei juu Dar kuliko mikoani ambapo nilitegemea kinyume chake kwasababu Dar hakuna gharama za usafirishaji ukilinganisha na mikoani, This is stupid!
Dar si mna pombe yenu inaitwa Chibuku aka buyu la bei chee ? Huku mikoani hata wengi hawaijui..
 
Hapa soweto mbeya kwa grocery ya rehema tunauziwa safari larger kubwa 2,000/= na ndogo yake 1,700/=.
 
Kijana kunywa pombe wanazokunywa maskini wenzio.
Unafikiri BALIMI alitengenezewaa Nani Kama sio watu Kama wewe?
 
Back
Top Bottom