k29
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 730
- 1,211
Hapa naongelea biashara zote ambazo zinakatazwa na Serikali kama vile bangi, madawa ya kulevya, biashara za watu n.k
Ukianza kufanya hizi biashara utakuwa tajiri sana.
Naombeni wenye ujuzi wa haya mambo kwanini hizi biashara zina faida sana.
sent using samsung galaxy s8
Ukianza kufanya hizi biashara utakuwa tajiri sana.
Naombeni wenye ujuzi wa haya mambo kwanini hizi biashara zina faida sana.
sent using samsung galaxy s8