Kwanini biashara nyingi za fremu zinafilisika haraka?

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,811
Reaction score
3,888
KWANINI BIASHARA NYINGI ZA FREMU ZINAFILISIKA HARAKA?

Biashara ya fremu ni ile unakodisha chumba/sehemu sokoni au mtaa fulani, unaweka bidhaa zako na unasubiri mtu apite anunue.

Hii biashara huonekana kama “ndio biashara halisi” – ila ukweli ni huu hapa 👇🏾
fremu.jpg

1. Biashara nyingi za fremu hazifiki mbali. sio kwa sababu bidhaa ni mbaya…

Bali kwa sababu:

▪️ Hakuna wateja wa kutosha kupita dukani
▪️ Hawajui kitu kinaitwa marketing
▪️ Wanatumia mazoea kwamba ndugu na rafiki watakuja
▪️ Watu hawatembei siku hizi kila kitu ni kwa simu

2. Wateja wapo kwenye simu yako.

Mtu akiwa nyumbani, kazini, chooni, jikoni

simu haitoki mkononi.

Wanaangalia WhatsApp status, TikTok, Instagram, youtube.

Mtu ananunua kila kituakiwa amelala kitandani.
3. Gharama ya kuendesha biashara za fremu ni kubwa sana.

Hazifunguliwi muda wote, kodi, umeme, uchafu, maji, mtaa, kodi kibao

Lakini biashara za online unafungua muda wote.

Na unaweza kumfikia mteja akiwa sehemu yoyote.

Gharama ni mb zako tu.

4. Tangu 2021 nimeanza kukusanya namba za simu.
Leo nina zaidi ya 10,000+

Hizi ni namba za watu walionyesha interest na kazi zangu au wateja wangu.

Hii audience ni kama duka langu

Hii ni audience – hazipatikani dukani.

Mwenye fremu hana muda na namba za wateja
5. Kila siku na-save namba mpya.

Nahakikisha ninasevu namba kumi kila siku.

Kwa sababu:

▪️ Watanizoea
▪️ Wataona status zangu
▪️ wataona post zangu
▪️ Wataona offer zangu

Mwisho watanunua.

Mwenye fremu anategemea rafiki zake ndo wanunue

6. Mwenye fremu anasubiri mteja aingie dukani.

Unakuta mtu anatokea mbali au hana hela siku hiyo.

Njia sahihi ni kutafuta namba yake ya simu ili muwasiliane siku akiwa tayari.

Dukani hakuna uhakika wa mteja

Mpita njia sio wa kutegemea sana.
7. Wengi wanaofanya biashara kwenye WhatsApp, TikTok na Instagram wanakua haraka kuliko wa fremu.

Kwa sababu:

Wanamfikia mteja kwa wakati wowote

Wana nguvu kubwa ya kumshawishi

Wanatumia content kuvutia wateja

Wanajenga authority kwenye simu za wateja

Wana mbinu nyingi

8. Biashara sio bidhaa tu, ni mauzo (sales)

Na sales zinatoka kwa watu audience.

Ukiwa na audience, hata kama huna bidhaa leo, unaweza kuuza bidhaa yoyote ile unayoleta kesho.

Audience ndio mtaji wa biashara yoyote.

Mwenye fremu hana audience kubwa.

9. Leo mtu anaweza kuwa na fremu mtaani

Lakini akashindwa kuuza

Na mwingine ana account ya Instagram yenye followers 500 tu lakini anauza kila suku

Tofauti ni simple:

Uwezo wa ku control attention na kushawishi wateja.

10. SOLUTION ni hii:

✔️ Kusanya namba za wateja kila siku
✔️ Tumia content kuwafikia wateja
✔️ Jifunze sales
✔️ Tumia WhatsApp, TikTok, Insta, X kama duka
✔️ Tumia tools kama (Canva, CapCut)
✔️ Wekeza kwenye paid ads

Usikodishe fremu kama hujajua kuleta wateja kwenye hiyo fremu.

Jifunze kuleta wateja kwa kutumia simu.

Huwa nasaidia watu kukusanya namba za wateja za social media kuwaleta WhatsApp.

Bonyeza hapa nitakupa mwongozo → wa.me/+255693880325
 
View attachment 3327345

kikubwa location na demand
 
Wamekariri kiwanja kikiwa barabarani basi cha kwanza ni fremu. Kuna jirani yangu alijenga fremu kama nane. Ni moja tu ilipata mpangaji..ikabidi azibadili kuwa vyumba vya kupanga. Na vina wateja hadi leo.
hii safi inaitwa kujiongeza--- kuna sehemu unapita unaona duka unaka unajiuliza hapa mteja anatokea wapi
 
Wamekariri kiwanja kikiwa barabarani basi cha kwanza ni fremu. Kuna jirani yangu alijenga fremu kama nane. Ni moja tu ilipata mpangaji..ikabidi azibadili kuwa vyumba vya kupanga. Na vina wateja hadi leo.
Huwa hata mimi nawashangaaga sana...maitaji ya vyumba yalivyo juu sasaivi unaenda kujenga mafremu yanini.
 
Kuna biashara bila fremu wateja hawakuamini.wizi ni mwingi siku hizi mitandaoni.
Unahitaji kumaintain office yako Ili kwamba hata mteja unaemvuta akiwa na mashaka ama mahitaji mengi anahitaji kuchagua basi ataomba umuelekeze dukani kwako aje.

Somo ni kwamba ujifunze tu kujiongeza kuliko kukaa ukitegemea wapita njia.lakini Kuna baadhi ya biashara fremu haziepukiki.
 
Point kubwa sana hii maana biashara ya mtandaoni imeliza wengi sana hivyo ili uaminike lazma uwe na ofisi bado kuna kundi kubwa la wateja wanaamini kwenye frem au ofisi hawataki habari sijui nafanya shughuli zangu online . Binafsi nilishakosa mteja wa hela nyingi sababu ya kutokuwa na ofisi baada ya hapo nikaamua kufungua ofisi ili kupata imani ya wateja.
 
Ni kweli.unahitaji kuwa both kwenye fremu na online.ukiwa na ofisi na vibali angalau inaondoa hofu ya kutapeliwa Kwa wateja wa mbali online mfano mkoani.
Hata kama unauzia nyumbani basi pia uwe muwazi na kama mteja atatuma mtu Kwa niaba ama yeye mwenyewe anataka aje,unaweka mazingira ya kupokea wageni.
 
KWANINI BIASHARA NYINGI ZA FREMU ZINAFILISIKA HARAKA?

Biashara ya fremu ni ile unakodisha chumba/sehemu sokoni au mtaa fulani, unaweka bidhaa zako na unasubiri mtu apite anunue.

Hii biashara huonekana kama “ndio biashara halisi” – ila ukweli ni huu hapa 👇🏾
View attachment 3327345
1. Biashara nyingi za fremu hazifiki mbali. sio kwa sababu bidhaa ni mbaya…

Bali kwa sababu:

▪️ Hakuna wateja wa kutosha kupita dukani
▪️ Hawajui kitu kinaitwa marketing
▪️ Wanatumia mazoea kwamba ndugu na rafiki watakuja
▪️ Watu hawatembei siku hizi kila kitu ni kwa simu

2. Wateja wapo kwenye simu yako.

Mtu akiwa nyumbani, kazini, chooni, jikoni

simu haitoki mkononi.

Wanaangalia WhatsApp status, TikTok, Instagram, youtube.

Mtu ananunua kila kituakiwa amelala kitandani.
3. Gharama ya kuendesha biashara za fremu ni kubwa sana.

Hazifunguliwi muda wote, kodi, umeme, uchafu, maji, mtaa, kodi kibao

Lakini biashara za online unafungua muda wote.

Na unaweza kumfikia mteja akiwa sehemu yoyote.

Gharama ni mb zako tu.

4. Tangu 2021 nimeanza kukusanya namba za simu.
Leo nina zaidi ya 10,000+

Hizi ni namba za watu walionyesha interest na kazi zangu au wateja wangu.

Hii audience ni kama duka langu

Hii ni audience – hazipatikani dukani.

Mwenye fremu hana muda na namba za wateja
5. Kila siku na-save namba mpya.

Nahakikisha ninasevu namba kumi kila siku.

Kwa sababu:

▪️ Watanizoea
▪️ Wataona status zangu
▪️ wataona post zangu
▪️ Wataona offer zangu

Mwisho watanunua.

Mwenye fremu anategemea rafiki zake ndo wanunue

6. Mwenye fremu anasubiri mteja aingie dukani.

Unakuta mtu anatokea mbali au hana hela siku hiyo.

Njia sahihi ni kutafuta namba yake ya simu ili muwasiliane siku akiwa tayari.

Dukani hakuna uhakika wa mteja

Mpita njia sio wa kutegemea sana.
7. Wengi wanaofanya biashara kwenye WhatsApp, TikTok na Instagram wanakua haraka kuliko wa fremu.

Kwa sababu:

Wanamfikia mteja kwa wakati wowote

Wana nguvu kubwa ya kumshawishi

Wanatumia content kuvutia wateja

Wanajenga authority kwenye simu za wateja

Wana mbinu nyingi

8. Biashara sio bidhaa tu, ni mauzo (sales)

Na sales zinatoka kwa watu audience.

Ukiwa na audience, hata kama huna bidhaa leo, unaweza kuuza bidhaa yoyote ile unayoleta kesho.

Audience ndio mtaji wa biashara yoyote.

Mwenye fremu hana audience kubwa.

9. Leo mtu anaweza kuwa na fremu mtaani

Lakini akashindwa kuuza

Na mwingine ana account ya Instagram yenye followers 500 tu lakini anauza kila suku

Tofauti ni simple:

Uwezo wa ku control attention na kushawishi wateja.

10. SOLUTION ni hii:

✔️ Kusanya namba za wateja kila siku
✔️ Tumia content kuwafikia wateja
✔️ Jifunze sales
✔️ Tumia WhatsApp, TikTok, Insta, X kama duka
✔️ Tumia tools kama (Canva, CapCut)
✔️ Wekeza kwenye paid ads

Usikodishe fremu kama hujajua kuleta wateja kwenye hiyo fremu.

Jifunze kuleta wateja kwa kutumia simu.

Huwa nasaidia watu kukusanya namba za wateja za social media kuwaleta WhatsApp.

Bonyeza hapa nitakupa mwongozo → wa.me/+255693880325
tatizo la kwanza ni kuigizana
Pili kufungua biashara bila kufanya utafiti wa kina
Tatu, gharama kubwa za kodi iwe ni za serikali au ukodishaji majengo
Nne, ni ukosefu wa nguvu ya kifedha kwa wananchi walio wengi
Tano, inategemea na bidhaa unazouza kama ni za lazima au la
Ni mengi tu.
 
Kuna biashara bila fremu wateja hawakuamini.wizi ni mwingi siku hizi mitandaoni.
Unahitaji kumaintain office yako Ili kwamba hata mteja unaemvuta akiwa na mashaka ama mahitaji mengi anahitaji kuchagua basi ataomba umuelekeze dukani kwako aje.

Somo ni kwamba ujifunze tu kujiongeza kuliko kukaa ukitegemea wapita njia.lakini Kuna baadhi ya biashara fremu haziepukiki.
This is point
 
Back
Top Bottom