Kwanini biashara nyingi zinakufa baada ya baba au kichwa cha familia kufariki?

Samwel Ngulinzira

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,829
Reaction score
1,972
Habari ya wakati huu?

Naomba kwenda kwenye mada moja kwa moja.

Kwanini biashara nyingi za watanzania zinayumba hadi kufa pindi baba au kiongozi wa familia anapofariki?

Mambo ni tofauti kwa upande wa wafanyabiashara wenye asili ya Asia. Anakufa baba au kiongozi wa familia, mtu mwingine anarithi usimamizi wa biashara na mambo yanakua kama zamani au mambo yanakua bora zaidi ya zamani.

Nashindwa kuelewa ni kwanini sie tunashindwa kuendeleza biashara wakati wenzetu mambo yanaenda kama kawaida.

Mfano kampuni nyingi za Asia utakuta "Since 1960" hadi muda huu unakuta kampuni inadunda.

Nakaribisha mjadala ili tujue ni wapi tunakwama.
 
Hii mada ni nzuri! Biashara nyingi za wabongo au waafrika kwa ujumla hazijajengwa katika misingi imara!

Ninapoongelea msingi imara wa kampuni siongelei mtaji! Msingi imara wa kampuni ni: MEMORANDUM & ARTICLE OF ASSOCIATION basi! Huu ndo Msaafu au Biblia ya kampuni kiasi kwamba haijalishi Mkurugenzi (shareholders) yuko hai au amekufa kampuni kama kampuni itaendelea kuishi! Ukianzisha biashara hapa ndo mahali sahihi pa kuanzia.

Sasa wengi wetu wabongo wanaanzisha biashara kiasi kwamba mwenye hiyo biashara anakuwa kama mungu mtu kiasi kwamba akifariki baasi na biashara kwishne! Labda lakini sujui kwa mfano wa ITV baada ya Mengi kufariki kama Memorandum & Article of association imekaa vizuri ITV itaishi milele!
 
Ishu kubwa niliyoiona ni kuwa wenzetu ni wafanyabiashara na wanafuata principle za kibiashara mtoto anazaliwa ktk biashara, anaishi ktk biashara, anarithi biashara na kuendeleza biashara. Wahindi huwarithisha watoto biashara mapema na kunakuwa na uwazi yaani inakuwa biashara ya kifamilia.

Tofauti na kwetu sisi biashara ni ya mtu mmoja tu wengine kazi yao ni kula kile wasichojua kinatoka wapi ni nadra sana kwa ngozi nyeusi biashara yake kuwa wazi kwa familia nzima na kuendeshwa kifamilia. Wenzetu utakuta baba ni mkurugenzi au cheo chochote cha u-CEO theni chini yake ni mwanae au ndugu mwingine wa damu.

Kifupi wenzetu biashara ni ya familia nzima na pia kwao ndo urithi kama ambavyo sisi hurithishana uganga, mashamba, uchawi nk na anayerithi huendeleza basi wao biashara ndo tunguli zao za kurithishana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo hicho hicho nilichokisema! Kwa mfano wa hapa nyumbani ni wahindi. Wahindi wanafuata principle za kuendesha biashara kikampuni FULL STOP! Nikupe mfano wa muhindi anayeitwa Jitu Pateli!

Nathani wengi wetu tunafahamu makampuni yake mengi! Huyu alikuwa MD (Managing Director) lakini kutokana na uzee akaanza kuendesha biashara ndivyosivyo wakati huo huo anakataa kuridhisha kiti kwa wakurugenxi wengine kulingana M&Article of Association yao!

Watoto wake wa kuzaa wakamfanyia njama ya kuwa anakichaa kakamatwa kalazwa Hospitali muhimbili. Huku nyuma ukaitishwa mkutano mkuu wa wakurugenzi wakamuondoa katika kiti kufuatana na utatatibu na baadaye katolewa hospital. Huyo mzee aliishia kuwalaani na kutoa radhi kwa wanawe lakini hakuwa na backup ya kisheria kuwashitaki mahakamani kwasababu ya Memorandum & AoA na mambo yanaenda vuzuri!

Bila maandishi mazuri ya kuendesha kampuni hakuna hujanja sijui kufundisha wa wakiwa wadogo us just a rubbish! Follow the principal and writings biashara itaishi mpaka mwisho wa dunia! Mfano: Mercedes benz, colgate, suzuki, ford, general motors, n.k, n.k FULL STOP!
 
Yaaani kujituma ndio asili ya utajili kama unakaa tu hakuna pesa na watanzani wengi tunapenda mkato,ndio maana ukimwajili mtanzabia kwanza utengeneze njia ili kumlinda asikuibie.

Watoto wa mabosi wamedekezwa hawaju chochote wao kula kulala leo hii umwambie amsimamie mtu alafu shifti ya ucku ataweza uvivu ndio unatuponza baba anaweza akawa ameacha mali lkn pia na maelezo au nn kifanyike kinaonekana lkn watoto wavivu Sana'a ndio hapo wanapofeli

Nondo tupu

K,K
 
Vizuri mkuu, nmejifunza kitu hapa.
 
Shukrani mkuu, nmejifunza kitu kutoka kwako.
Nikichukulia mfano wa maduka ya wahindi unakuta mtoto wa miaka 8 anakaa ofisini anasaidia kuuza pamoja na mzazi.
Kwa hiyo anapata ujuzi na uzoefu.
Aya ya mwisho umenichekesha mkuu.
 
Ndo hicho hicho nilichokisema! Kwa mfano wa hapa nyumbani ni wahindi. Wahindi wanafuata principle za kuendesha biashara kikampuni FULL STOP! Nikupe mfano wa muhindi anayeitwa Jitu Pateli!

Nathani wengi wetu tunafahamu makampuni yake mengi! Huyu alikuwa MD (Managing Director) lakini kutokana na uzee akaanza kuendesha biashara ndivyosivyo wakati huo huo anakataa kuridhisha kiti kwa wakurugenxi wengine kulingana M&Article of Association yao!

Watoto wake wa kuzaa wakamfanyia njama ya kuwa anakichaa kakamatwa kalazwa Hospitali muhimbili. Huku nyuma ukaitishwa mkutano mkuu wa wakurugenzi wakamuondoa katika kiti kufuatana na utatatibu na baadaye katolewa hospital. Huyo mzee aliishia kuwalaani na kutoa radhi kwa wanawe lakini hakuwa na backup ya kisheria kuwashitaki mahakamani kwasababu ya Memorandum & AoA na mambo yanaenda vuzuri!

Bila maandishi mazuri ya kuendesha kampuni hakuna hujanja sijui kufundisha wa wakiwa wadogo us just a rubbish! Follow the principal and writings biashara itaishi mpaka mwisho wa dunia! Mfano: Mercedes benz, colgate, suzuki, ford, general motors, n.k, n.k FULL STOP!
Vizuri mkuu...ngoja nipitie baadhi ya sample za memorandum nione mambo yanakuaje.
Nashukuru sana
 
Yaaani kujituma ndio asili ya utajili kama unakaa tu hakuna pesa na watanzani wengi tunapenda mkato,ndio maana ukimwajili mtanzabia kwanza utengeneze njia ili kumlinda asikuibie.

Watoto wa mabosi wamedekezwa hawaju chochote wao kula kulala leo hii umwambie amsimamie mtu alafu shifti ya ucku ataweza uvivu ndio unatuponza baba anaweza akawa ameacha mali lkn pia na maelezo au nn kifanyike kinaonekana lkn watoto wavivu Sana'a ndio hapo wanapofeli

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu hapo nmekusoma vizuri.
Tunawafundisha watoto kukariri vitabu wakati wenzetu wanawafunza nidhamu ya pesa na kuzisaka.
Nadhani inabidi tuwazoeshe watoto kujua namna ya kuendesha biashara tunazofanya
 
Wanafamilia hubweteka pindi baba yupo na huwa wanamtegemea baba kwa kila jambo. Pia baba kutoshirikisha wanafamilia ktk mambo na mipango mbalimbali
 
Ni kwa sababu mke hutegemea chini zaidi, na sio kutegemea biashara tena, ova
 
Back
Top Bottom