Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Habari ya wakati huu?
Naomba kwenda kwenye mada moja kwa moja.
Kwanini biashara nyingi za watanzania zinayumba hadi kufa pindi baba au kiongozi wa familia anapofariki?
Mambo ni tofauti kwa upande wa wafanyabiashara wenye asili ya Asia. Anakufa baba au kiongozi wa familia, mtu mwingine anarithi usimamizi wa biashara na mambo yanakua kama zamani au mambo yanakua bora zaidi ya zamani.
Nashindwa kuelewa ni kwanini sie tunashindwa kuendeleza biashara wakati wenzetu mambo yanaenda kama kawaida.
Mfano kampuni nyingi za Asia utakuta "Since 1960" hadi muda huu unakuta kampuni inadunda.
Nakaribisha mjadala ili tujue ni wapi tunakwama.