Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,972
Ndo hicho hicho nilichokisema! Kwa mfano wa hapa nyumbani ni wahindi. Wahindi wanafuata principle za kuendesha biashara kikampuni FULL STOP! Nikupe mfano wa muhindi anayeitwa Jitu Pateli!Ishu kubwa niliyoiona ni kuwa wenzetu ni wafanyabiashara na wanafuata principle za kibiashara mtoto anazaliwa ktk biashara, anaishi ktk biashara, anarithi biashara na kuendeleza biashara. Wahindi huwarithisha watoto biashara mapema na kunakuwa na uwazi yaani inakuwa biashara ya kifamilia.
Tofauti na kwetu sisi biashara ni ya mtu mmoja tu wengine kazi yao ni kula kile wasichojua kinatoka wapi ni nadra sana kwa ngozi nyeusi biashara yake kuwa wazi kwa familia nzima na kuendeshwa kifamilia. Wenzetu utakuta baba ni mkurugenzi au cheo chochote cha u-CEO theni chini yake ni mwanae au ndugu mwingine wa damu.
Kifupi wenzetu biashara ni ya familia nzima na pia kwao ndo urithi kama ambavyo sisi hurithishana uganga, mashamba, uchawi nk na anayerithi huendeleza basi wao biashara ndo tunguli zao za kurithishana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nondo tupuNdo hicho hicho nilichokisema! Kwa mfano wa hapa nyumbani ni wahindi. Wahindi wanafuata principle za kuendesha biashara kikampuni FULL STOP! Nikupe mfano wa muhindi anayeitwa Jitu Pateli!
Nathani wengi wetu tunafahamu makampuni yake mengi! Huyu alikuwa MD (Managing Director) lakini kutokana na uzee akaanza kuendesha biashara ndivyosivyo wakati huo huo anakataa kuridhisha kiti kwa wakurugenxi wengine kulingana M&Article of Association yao!
Watoto wake wa kuzaa wakamfanyia njama ya kuwa anakichaa kakamatwa kalazwa Hospitali muhimbili. Huku nyuma ukaitishwa mkutano mkuu wa wakurugenzi wakamuondoa katika kiti kufuatana na utatatibu na baadaye katolewa hospital. Huyo mzee aliishia kuwalaani na kutoa radhi kwa wanawe lakini hakuwa na backup ya kisheria kuwashitaki mahakamani kwasababu ya Memorandum & AoA na mambo yanaenda vuzuri!
Bila maandishi mazuri ya kuendesha kampuni hakuna hujanja sijui kufundisha wa wakiwa wadogo us just a rubbish! Follow the principal and writings biashara itaishi mpaka mwisho wa dunia! Mfano: Mercedes benz, colgate, suzuki, ford, general motors, n.k, n.k FULL STOP!
Vizuri mkuu, nmejifunza kitu hapa.Hii mada ni nzuri! Biashara nyingi za wabongo au waafrika kwa ujumla hazijajengwa katika misingi imara!
Ninapoongelea msingi imara wa kampuni siongelei mtaji! Msingi imara wa kampuni ni: MEMORANDUM & ARTICLE OF ASSOCIATION basi! Huu ndo Msaafu au Biblia ya kampuni kiasi kwamba haijalishi Mkurugenzi (shareholders) yuko hai au amekufa kampuni kama kampuni itaendelea kuishi! Ukianzisha biashara hapa ndo mahali sahihi pa kuanzia.
Sasa wengi wetu wabongo wanaanzisha biashara kiasi kwamba mwenye hiyo biashara anakuwa kama mungu mtu kiasi kwamba akifariki baasi na biashara kwishne! Labda lakini sujui kwa mfano wa ITV baada ya Mengi kufariki kama Memorandum & Article of association imekaa vizuri ITV itaishi milele!
Shukrani mkuu, nmejifunza kitu kutoka kwako.Ishu kubwa niliyoiona ni kuwa wenzetu ni wafanyabiashara na wanafuata principle za kibiashara mtoto anazaliwa ktk biashara, anaishi ktk biashara, anarithi biashara na kuendeleza biashara. Wahindi huwarithisha watoto biashara mapema na kunakuwa na uwazi yaani inakuwa biashara ya kifamilia.
Tofauti na kwetu sisi biashara ni ya mtu mmoja tu wengine kazi yao ni kula kile wasichojua kinatoka wapi ni nadra sana kwa ngozi nyeusi biashara yake kuwa wazi kwa familia nzima na kuendeshwa kifamilia. Wenzetu utakuta baba ni mkurugenzi au cheo chochote cha u-CEO theni chini yake ni mwanae au ndugu mwingine wa damu.
Kifupi wenzetu biashara ni ya familia nzima na pia kwao ndo urithi kama ambavyo sisi hurithishana uganga, mashamba, uchawi nk na anayerithi huendeleza basi wao biashara ndo tunguli zao za kurithishana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri mkuu...ngoja nipitie baadhi ya sample za memorandum nione mambo yanakuaje.Ndo hicho hicho nilichokisema! Kwa mfano wa hapa nyumbani ni wahindi. Wahindi wanafuata principle za kuendesha biashara kikampuni FULL STOP! Nikupe mfano wa muhindi anayeitwa Jitu Pateli!
Nathani wengi wetu tunafahamu makampuni yake mengi! Huyu alikuwa MD (Managing Director) lakini kutokana na uzee akaanza kuendesha biashara ndivyosivyo wakati huo huo anakataa kuridhisha kiti kwa wakurugenxi wengine kulingana M&Article of Association yao!
Watoto wake wa kuzaa wakamfanyia njama ya kuwa anakichaa kakamatwa kalazwa Hospitali muhimbili. Huku nyuma ukaitishwa mkutano mkuu wa wakurugenzi wakamuondoa katika kiti kufuatana na utatatibu na baadaye katolewa hospital. Huyo mzee aliishia kuwalaani na kutoa radhi kwa wanawe lakini hakuwa na backup ya kisheria kuwashitaki mahakamani kwasababu ya Memorandum & AoA na mambo yanaenda vuzuri!
Bila maandishi mazuri ya kuendesha kampuni hakuna hujanja sijui kufundisha wa wakiwa wadogo us just a rubbish! Follow the principal and writings biashara itaishi mpaka mwisho wa dunia! Mfano: Mercedes benz, colgate, suzuki, ford, general motors, n.k, n.k FULL STOP!
Kweli mkuu hapo nmekusoma vizuri.Yaaani kujituma ndio asili ya utajili kama unakaa tu hakuna pesa na watanzani wengi tunapenda mkato,ndio maana ukimwajili mtanzabia kwanza utengeneze njia ili kumlinda asikuibie.
Watoto wa mabosi wamedekezwa hawaju chochote wao kula kulala leo hii umwambie amsimamie mtu alafu shifti ya ucku ataweza uvivu ndio unatuponza baba anaweza akawa ameacha mali lkn pia na maelezo au nn kifanyike kinaonekana lkn watoto wavivu Sana'a ndio hapo wanapofeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaa! Nmecheka kwa sauti mkuuNi kwa sababu mke hutegemea chini zaidi, na sio kutegemea biashara tena, ova
Corona inatuogopa ChiefWaafrika weusi sijui tunakwama wapi, kila maeneo sisi ni majanga tu