Ignatus Mkonga
Member
- Sep 15, 2016
- 18
- 9
Kwanini Biashara inafeli sana licha ya mtu kuwa na mtaji wa kutosha na hata mbinu mbalimbali za kukabiliana na changamoto zake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini Biashara inafeli sana licha ya mtu kuwa na mtaji wa kutosha na hata mbinu mbalimbali za kukabiliana na changamoto zake?
Biashara inahitaji uzoefu kwanza wengi wanawekeza pesa kwa kitu wasichokijua sababu wamesikia biashara fulani inalipaKwanini Biashara inafeli sana licha ya mtu kuwa na mtaji wa kutosha na hata mbinu mbalimbali za kukabiliana na changamoto zake?
biashara nyingi za kiAfrika zina mambo mengi sana.....
Hapo ndo penye shidaKwa ufupi sana, nadhani hata kushindwa kufanya biashara zetu kuwa independent kunachangia. Hatutenganishi fedha ya biashara husika (duka, usafirishaji,...) na fedha kutoka vyanzo vingine.
Kwa mf; naweza kuwa na duka. Nikilima shamba, nikauza mazao hiyo fedha naichanganya kwenye mtaji waduka. Nikitaka kulipa ada ya mtoto, nachukua humo humo. Mwisho wa siku tunashindwa ku control financial flow
Kwanini Biashara inafeli sana licha ya mtu kuwa na mtaji wa kutosha na hata mbinu mbalimbali za kukabiliana na changamoto zake?
FactBiashara inahitaji uzoefu kwanza wengi wanawekeza pesa kwa kitu wasichokijua sababu wamesikia biashara fulani inalipa