Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi Biblia imeandika hivyo? Kukuita kondoo? Au kuita yeyote kondoo?kwanini biblia inatuita sisi kondoo huyu mnyama ana tofauti gani na wanyama wengine
Swali la kijinga kabisa, just imegine biblia ingetuita 'Mbuzi' au 'Bata'kwanini biblia inatuita sisi kondoo huyu mnyama ana tofauti gani na wanyama wengine
Kutuma kama kondoo sio maana yake wewe ni kondoo.Neno la Mungu linasema;
“ Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwa-mwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.”Mathayo 10:16
*Bwana Yesu ametutuma kama KONDOO kati ya mbwa-mwitu.
Umejibu vema.Kondoo ni Kwa wale tuu wanaomkubali Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wao na kumfuata , sio kumkubali tuu na kumfuata , wasiofanya hvyo inawafananisha na mbuzi , why kondoo na why Mbuzi , lejea sifa za kondoo na rejea sifa za mbuzi
Kondoo watatu wameokolewaKwanini Biblia inatuita sisi kondoo. Huyu mnyama ana tofauti gani na wanyama wengine?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] meeeeee meeeeeeACHA UJINGA WEWE.
UNAFUNGUA HUU UZI ILI UWAPE AIRTIME WAISLAM WAANZE KUDHIHAKI
KWAHYO TOKA UMEZALIWA HUONI MAANA YA KUITWA KONDOO
AU WEWE NI MUISLAM UNATAKA CHOKOCHOKO ZA KIDINI DHIDI YA WAKRISTO?
Wapi bibilia ilipokuita wewe kondooo?Kwanini Biblia inatuita sisi kondoo. Huyu mnyama ana tofauti gani na wanyama wengine?