Kwanini binadamu akiwa utupu havutii kabisa kama akiwa nusu utupu

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Mods please msifute

Binadamu akiwa utupu kabisa anatisha sana....yaani huwezi kumtamani kumuangalia wala kumtamani...

Ila akivaa nusu utupu....anatokelezea sana,anashawishi kuendelea kumuan galia.

Hii ni kwa sababu gani

Mfano wavulana/,wanaume tukivaa vest na bukta

Wadada nao wakivaa shorts zao zile wanapendeza hatari kuliko wakiwa full naked
 
Kwa sababu umezoea madem wenye vitambi😂😂😂

Ukiotea mwanamke asie na bby fats na kujaa jaa kama sanamu la michelin utakuja kufuta uzi wako. Jitahidi utmbe shombe shombe mwenye mwili wa kisport nakwambia utarudi ufute uzi
 
Utamu upo palipofichwa ndio maana watu wanapenda bikra
JamiiForums-1126188996.jpg
 
Kwa sababu umezoea madem wenye vitambi😂😂😂

Ukiotea mwanamke asie na bby fats na kujaa jaa kama sanamu la michelin utakuja kufuta uzi wako. Jitahidi utmbe shombe shombe mwenye mwili wa kisport nakwambia utarudi ufute uzi
Aah wap..nishakutana na shepu mbalimbali mkuu..hazipendezi zikiwa tupu kabisa..bora hata afiche hata kwa leso kiduchuuu pale maeneo..
 
Akili za kuwaza ngono zinasumbua, Hivi unapogegeda si huwa unamvua nguo ? Vipi mashine inakuaje unapoliona lile body kabla ya kugegeda?
Nadhani Kwa kutazama tuu bora wakiwa na nguo, lakini kwa Mgegedo mambo yawe hadharani .
Si unatafuta kizazi au starehe tuu?
 
Mods please msifute

Binadamu akiwa utupu kabisa anatisha sana....yaani huwezi kumtamani kumuangalia wala kumtamani...

Ila akivaa nusu utupu....anatokelezea sana,anashawishi kuendelea kumuan galia.

Hii ni kwa sababu gani

Mfano wavulana/,wanaume tukivaa vest na bukta

Wadada nao wakivaa shorts zao zile wanapendeza hatari kuliko wakiwa full naked
Mkuu napinga, ebu tuwekee picha kwanza ndipo tuzungumze.
 
Umezoea mademu wenye vitambi na minyama uzembe wala sikushangai.achana na pisi mbovu flat screen hamia huku[emoji116]
 
Akili za kuwaza ngono zinasumbua, Hivi unapogegeda si huwa unamvua nguo ? Vipi mashine inakuaje unapoliona lile body kabla ya kugegeda?
Nadhani Kwa kutazama tuu bora wakiwa na nguo, lakini kwa Mgegedo mambo yawe hadharani .
Si unatafuta kizazi au starehe tuu?
Hiv mkuu mfano kabla hajavua nguo akipita mtaani ...utampenda/utamtamani kweli???
 
Back
Top Bottom