edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Cha kwanza nature haina aim yoyote. Mutation are random but natural selection is systematic. So huweza sema nature imeamua jambo. Viumbe wa kutaga mayai walitokea kipindi cha pangea. The environment was hot and dry so viumbe wengine at the time walikua wanataga kama chura. Hao reptile ndio viumbe wachache walioevolve kutaga mayai yenye kasha gumu so waliweza populate pangea maana waliweza taga popote.Kabla ya kuleta utopolo nijibu swali hili,,, aim ya nature kufanya organism wa evolve kutoka kutoa gelatinous eggs(fish and amphibians) to calcium shell(aves and reptiles) to storing eggs kwa placenta(mamals) ,, na kutoka kufanya external fertilisation to internal fertilisation ilikuwa ni nini?
Hapo nimekuonyesha tuu nature/evolution has no plan or goal