jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Kufa hakunaga mapema wala kuwahi
Mwenye kifo chake ndio anajua siri hii
[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]Kila mmoja wetu anapozaliwa huwa na mission anayopaswa kui-accomplish.
Wema wengi hu-accomplish missions zao mapema na kurudi kwa Mungu. Wengi wa wasiyo wema hudumu maana Mungu huendelea kuwapa nafasi ya ku-accomplish missions zao.
RIP JPM, ulienda mapema sana tukiwa bado tunakuhitaji.
Sio kweli,mzee Ruksa,mandela,mama nyerere ni watu poa na wamegonga 90,hitler,sadam hussein magufuli ???Ulishafanya utafiti kwako na kama bado nashauri ufanye.
Ipo hivi watu wenye roho na matendo mema huwa ni vigumu mno kuzidi umri wa 50+. Wengi wao hufariki chini ya umri huo na kawaida vifo vyao huacha simanzi kuu!
"...baba wa watu alikuwa mwema ama kijana wa watu ndiyo kwanza ameanza maisha ama binti wa watu ndiyo ilikuwa mimba yake ya kwanza".... ni baadhi ya maneno yenye kusononeka utayoyasikia kutoka katika hadhira inayoomboleza misiba mingi ya watu wema.
Binafsi huwa najiuliza sana kwa kifo huwapata mapema watu wenye tabia za namna ile?
Kila mmoja wetu anapozaliwa huwa na mission anayopaswa kui-accomplish.
Wema wengi hu-accomplish missions zao mapema na kurudi kwa Mungu. Wengi wa wasiyo wema hudumu maana Mungu huendelea kuwapa nafasi ya ku-accomplish missions zao.
RIP JPM, ulienda mapema sana tukiwa bado tunakuhitaji.
Uwe JangiliHivyo ili tuishi muda mrefu inatakiwa tuwe?
Ulishafanya utafiti kwako na kama bado nashauri ufanye.
Ipo hivi watu wenye roho na matendo mema huwa ni vigumu mno kuzidi umri wa 50+. Wengi wao hufariki chini ya umri huo na kawaida vifo vyao huacha simanzi kuu!
"...baba wa watu alikuwa mwema ama kijana wa watu ndiyo kwanza ameanza maisha ama binti wa watu ndiyo ilikuwa mimba yake ya kwanza".... ni baadhi ya maneno yenye kusononeka utayoyasikia kutoka katika hadhira inayoomboleza misiba mingi ya watu wema.
Binafsi huwa najiuliza sana kwa kifo huwapata mapema watu wenye tabia za namna ile?
Kila mmoja wetu anapozaliwa huwa na mission anayopaswa kui-accomplish.
Wema wengi hu-accomplish missions zao mapema na kurudi kwa Mungu. Wengi wa wasiyo wema hudumu maana Mungu huendelea kuwapa nafasi ya ku-accomplish missions zao.
RIP JPM, ulienda mapema sana tukiwa bado tunakuhitaji.
Freemason ujua siku yao ya kutolewa kafara baada ya kushindwa mashartiThe good die young, 2pac Shakur, nilipata shida sana kuusilikilza wimbo huu siku aliyouwawa 2Pac, ni kama alikuwa anajiimbia yeye, 26 years only hata 30 hakufika.
mkuu,Yesu kukataa yeye kuitwa mwema ulikuwa muendelezo wa kumtukuza aliye juu peke yake,ambaye ndiye asili ya hilo neno.hakuwa na maana kwamba yeye au mwingine hawezi kuwa mwema.Unampimaje mtu kuwa ni mwema??? YESU aliwahi kuitwa mwema akakataa akasema Mungu pekee ndiye mwema, hivyo kusema kwamba huyu mtu ni mwema huna kipimo maalum kinachoonyesha wema wa mtu, mtu anaweza kuongea vizri lakini moyoni mwake ni mbaya kuliko unavyofikiri, au akiwa gizani hujui anayoyafanya!! Kikubwa kuishi ni kristo kufa ni faida!! Swala la kifo mda ukifika umefika huwezi kuzuia, wanaomcha Mungu miaka wanaishi mda mrefu kuliko unavyofikiria ukiona wamekufa mapema ujue kuna jambo limesababisha, nzr kwa maana ya kumaliza kazi yao au umemkosea Mungu inakuwa ni njia moja wapo ya adhabu yako!!( mwenye kuuujua ukweli ni Mungu tu)