Kwanini binadamu yeyote mwenye roho na matendo mema kifo humpata mapema?

Kwanini binadamu yeyote mwenye roho na matendo mema kifo humpata mapema?

Ipo hivi Mungu uwachukua watu wema mapema Ili wasijepotea au kuurithi uovu yaani wasijebadilika na uwaacha waovu waishi mda mrefu lengo ni kuendelea kuwapa mda uenda kuna siku watatubu na kuwa wema.
Thus wapo waliokuwa waovu leo wametubu wanamtumikia Mungu.
Mfano kuna mtu alikuwa ni mkuu wa wachawi tanzania nzima ameuwa wengi leo kaacha uovu anamuhubiri Kristo
 
Ulishafanya utafiti kwako na kama bado nashauri ufanye.

Ipo hivi watu wenye roho na matendo mema huwa ni vigumu mno kuzidi umri wa 50+. Wengi wao hufariki chini ya umri huo na kawaida vifo vyao huacha simanzi kuu!

"...baba wa watu alikuwa mwema ama kijana wa watu ndiyo kwanza ameanza maisha ama binti wa watu ndiyo ilikuwa mimba yake ya kwanza".... ni baadhi ya maneno yenye kusononeka utayoyasikia kutoka katika hadhira inayoomboleza misiba mingi ya watu wema.

Binafsi huwa najiuliza sana kwa kifo huwapata mapema watu wenye tabia za namna ile?
Kama JPM
 
Hakuna kifo chochote kisicho na ruhusa ya Mungu mwenyewe kugongwa gari,ajali,moto,kuuliwa,nk hivi ni visababishi tu.
KILA mtu amepangiwa mtu na saa atakayoishi duniani.Kuna nadharia nyingi kuhusu hili ,zipo elimu usema binadamu kabla ya kuja duniani uonyeshwa maisha yake yote nae uamua atakaa mda wako wapo urudi wakiwa tumboni means mimba kutoka au kufia tumboni,wapo usema watakaa miezi 6,mwaka,miaka 5 ,60,80,nk lakini mda aliouweka Mungu ni miaka 70 hadi 80 zaidi ya hapo unaishi ziada yaani umeoverstay.
 
Ulishafanya utafiti kwako na kama bado nashauri ufanye.

Ipo hivi watu wenye roho na matendo mema huwa ni vigumu mno kuzidi umri wa 50+. Wengi wao hufariki chini ya umri huo na kawaida vifo vyao huacha simanzi kuu!

"...baba wa watu alikuwa mwema ama kijana wa watu ndiyo kwanza ameanza maisha ama binti wa watu ndiyo ilikuwa mimba yake ya kwanza".... ni baadhi ya maneno yenye kusononeka utayoyasikia kutoka katika hadhira inayoomboleza misiba mingi ya watu wema.

Binafsi huwa najiuliza sana kwa kifo huwapata mapema watu wenye tabia za namna ile?
Umedanganyika na sifa wapewazo marehemu. Kifo humpata yeyote. Majambazi na vibaka wauliwao kila kukicha ni watu wema? Hao wafao kwa mimba za utotoni ni wema?
 
Mungu ndio muamuzi na mwenye siri kubwa juu uhai wetu
 
Back
Top Bottom