Kwanini Biryani ipikwe Ijumaa?

Kwanini Biryani ipikwe Ijumaa?

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Huu ushamba wa lazima Biryani ipikwe ijumaa na iuzwe ijumaa imetokea wapi?? Na wengine wanaotaka Sikitu tofauti?? Mb TZ tumezubaa kibiashara na hamuoni Ijumaa mtacompete wengi? Kwani as long as itauzwa shida ipo wap c unapima Soo tu lazima iwe ijumaa??😡😡😡
 
Kuna sehemu nyingine wanauza jumapili,
Ngoja waje wapishi wenyewe wa Biriyani na Mandi
 
Huu ushamba wa lazima Biryani ipikwe ijumaa na iuzwe ijumaa imetokea wapi?? Na wengine wanaotaka Sikitu tofauti?? Mb TZ tumezubaa kibiashara na hamuoni Ijumaa mtacompete wengi? Kwani as long as itauzwa shida ipo wap c unapima Soo tu lazima iwe ijumaa??😡😡😡
We yako unataka uipike Lin? Na nani kakukataza afunguliwe mashtaka muda huu kuingilia uhuru wako
 
Back
Top Bottom