HOTUBA YA WAZIRI MKUU inajadiliwa Bungeni na mawaziri mbalimbali wanajibu hoja kwanini Dotto Biteko hapewi nafasi na Spika kujibu hoja za wabunge kama Naibu Waziri Mkuu?
Nimefuatilia sana suala hili nimeona nije huku niwaulize wajuzi wa mambo maana hata siku anaapishwa tuliambiwa atakuwa ndiye Mratibu wa Shughuli za Serikali.