Kwanini BMW X1 sio popular kama X3 na X5?

Conservator

Member
Joined
Jun 26, 2017
Posts
79
Reaction score
110
Wakuu Habari.

Nimetembelea tovuti za kampuni maarufu za kuagiza magari kutoka Japani kama Beforward, SBT, AUTOCOM na AUTOREC.

Kote huko nimeona miongoni mwa magari ya kampuni ya BMW (X3 naX5) ambayo wameyalist kama yanayonunuliwa sana.

Lakini mimi nimevutiwa na X1 ambayo pia hata bei zake sio kubwa sana.

Naomba kujuzwa zaidi juu gari hii ya BMW X1 hasa model ya 2010 mpaka 2012 au kwa ujumla.
 
Nadhani reason nyingine ni:

  • X1 imeanza kutengenezwa late, 2009. Wakati X3 X5 na X6 zimeanza kitambo kidogo.
  • Pia X1 ina share chasis na 1 series, ambayo nayo sio popular sana. Wakati X3 ina share na 3 series, X5 na 5 series ambazo ni maarufu sana.
  • Hafu X1 gharama sana (FOB) ukicompare na wengine (hii uta confirm uko bedorwad).
  • Na nyingine X1 is UGLY AF.
 

Oh Asante kwa ufafanuzi Mkuu
 
Imekaa kikike....au we wa kike?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
The Sexiest BMW ever designed. Nilikuwa napenda Styling ya X5 but since nimekutana na X1 it really caught my feelings. Ndio BMW ambayo naweza ichagua straight away with No hesistation.
Kuna BMW X2 nayo imekaa vizuri zaidi ya X1.

Mara ya kwanza naiona imetoka melini nikajua wajukuu wa Hitler wameweka lebo ya X2 badala ya X1.
 
Mkuu kwenye X series ya BMW Kuna hizi BMW X2 na BMW X4 naona Bongo sio common.

Kama BMW X4 nimewahi kitana nayo tena Ina namba za South Africa.
 
Mkuu kwenye X series ya BMW Kuna hizi BMW X2 na BMW X4 naona Bongo sio common.

Kama BMW X4 nimewahi kitana nayo tena Ina namba za South Africa.
Upo sahihi Mkuu X 4 ni gari na pia ina nafasi sana ndani uikute 2.0d ni mambo mengine hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…