Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
X2 imeanza 2017Mkuu kwenye X series ya BMW Kuna hizi BMW X2 na BMW X4 naona Bongo sio common.
Kama BMW X4 nimewahi kitana nayo tena Ina namba za South Africa.
X4 imeanza 2012
Wabongo wazee wa 2010 kurudi nyuma.😂😂