X2 imeanza 2017Mkuu kwenye X series ya BMW Kuna hizi BMW X2 na BMW X4 naona Bongo sio common.
Kama BMW X4 nimewahi kitana nayo tena Ina namba za South Africa.
Bro, izo ///M lakini. Ila X5 second gen tamu. 1st sijazipenda.Mwambie aseme tena mkuu...
Hizi bongo zitajaa miaka 10 ijayo.X2 imeanza 2017
X4 imeanza 2012
Wabongo wazee wa 2010 kurudi nyuma.ππ
Kuna X7 mzee baba.. Noma na nusu.Hizi bongo zitajaa miaka 10 ijayo.
Still naona BMW X5 is the best bmw ever made kwa upande wa SUV.Kuna X7 mzee baba.. Noma na nusu.
Hizi bongo zitajaa miaka 10 ijayo.