Kwanini Bongo hatuna viwanda vya magari?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Habari wakuu!

Kama swali linavyojionesha hapo.

Bongo tumejaaliwa natural resources...

Bongo tumejaaliwa enough power sources

Wabongo tumejaaliwa akili

Lakini kwanini Bongo hatuna viwanda vya magari?

Kama tatizo mtaji si tunaweza tukakopa world benk, kama tunavyokopa katika mambo mengine

KWANINI BONGO HATUNA VIWANDA VYA MAGARI? Kwa mtazamo wako
 

Attachments

  • Geely_assembly_line_in_Beilun%2C_Ningbo.JPG
    542.2 KB · Views: 3
  • 5df82d31f427df6b.jpg
    20.6 KB · Views: 3
Nani ana uwezo wa kununua zero km?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…