Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Habari wakuu!
Kama swali linavyojionesha hapo.
Bongo tumejaaliwa natural resources...
Bongo tumejaaliwa enough power sources
Wabongo tumejaaliwa akili
Lakini kwanini Bongo hatuna viwanda vya magari?
Kama tatizo mtaji si tunaweza tukakopa world benk, kama tunavyokopa katika mambo mengine
KWANINI BONGO HATUNA VIWANDA VYA MAGARI? Kwa mtazamo wako