Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Wewe utakuwa wapi mpaka usifungue?Siku wakichukua hata thread hamfungui mnaishia kusema wamenunua.
Labda unaumwa utakuwa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utakuwa wapi mpaka usifungue?Siku wakichukua hata thread hamfungui mnaishia kusema wamenunua.
Kuweka utani pembeni, na hakika kama kuna msanii wa bongo angeshukua tuzo jana lazima kuna uzi ungeanzishwa hapa ambao ungekuwa na msafara wa wenye nia njema na ma hater!!!Siku wakichukua hata thread hamfungui mnaishia kusema wamenunua.
Usinge fungualiwa nimeongea hivi sababu najua ninachokiongea.Kuweka utani pembeni, na hakika kama kuna msanii wa bongo angeshukua tuzo jana lazima kuna uzi ungeanzishwa hapa ambao ungekuwa na msafara wa wenye nia njema na ma hater!!!
🤣🤣🤣 nyie ndio wale nikifungua uzi mnasema "kwani huna kazi za kufanya" utazani nakula kwenu.Wewe utakuwa wapi mpaka usifungue?
Labda unaumwa utakuwa..
Mbona unajistukia sasa, Leta reference yoyote niliowahi kukwanbia hayo unayodai..🤣🤣🤣 nyie ndio wale nikifungua uzi mnasema "kwani huna kazi za kufanya" utazani nakula kwenu.
I know u kijana.
Acha kupoteza muda wako kubishana na chawa mkuu. Kitu kiko wazi anabishaKuweka utani pembeni, na hakika kama kuna msanii wa bongo angeshukua tuzo jana lazima kuna uzi ungeanzishwa hapa ambao ungekuwa na msafara wa wenye nia njema na ma hater!!!
Sema naona hizi tuzo kama unaija mwingi mnoo.. Sema walioshinda walistahili wako fresh..
Inabidi East Asia tuwe na tuzo zetu sasa..
Tutaambia nini wakenya?
Nijishtukie nimuogope nani? Reference zipo ila mda huo sina wa kutafuta.Mbona unajistukia sasa, Leta reference yoyote niliowahi kukwanbia hayo unayodai..
Mbona me sikujui unanijuaje?
I don't know u little one
Chawa........... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sasa sijui unataka reference gani.Acha kupoteza muda wako kubishana na chawa mkuu. Kitu kiko wazi anabisha
hapo sasaNi tuzo za wa nigeria. Sijasikia hao waandaaji wakitafuta - Excellence in Philanthropy, Excellence in Social Entrepreneurship and Digital Influence na Community and Socio-Political Development - nje ya nchi yao!!!
Chawa Kumbe mnakuwaga mapoyoyo namna hii? umesahau hata ulichoandika.. HahahChawa........... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sasa sijui unataka reference gani.
I know kijana 🤣🤣🤣 ,as long sili kwenu hainsishtui.Chawa Kumbe mnakuwaga mapoyoyo namna hii? umesahau hata ulichoandika.. Hahah
Kwaheri bwana chawa..
Kingine wanaume hatutumii emoji za kike namna hiyo.. Au wewe ndo juma lukole nini..?
Unaalikwa Kwenye Tamasha na Wasanii Wenzio kama 8 Kisha unachukua Video na Kujisifu kua Wewe ndo Umejaza Uwanja peke yako alafu uje utegemee nini, uko hakuna Uswahili vigezo na Mashariti VinazingatiwaNi tuzo za wa nigeria. Sijasikia hao waandaaji wakitafuta - Excellence in Philanthropy, Excellence in Social Entrepreneurship and Digital Influence na Community and Socio-Political Development - nje ya nchi yao!!!
Kutumbuiza...Alienda kufanya nini sasa?
Uko sawa kabisa mkuu sikupingi. Huku watu wanasifia ujinga Mwingi sana kisa UteamMiaka ya karibuni wakenya wamejitahidi sana kwenye mziki wao ..huku TZ wasanii wana copy kila kitu kwa hao wa naija
Binafsi nimefurahi kuona mabadiliko kwenye hizo tuko [emoji19]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini baada ya kutumbuiza. Asiondoke?Kutumbuiza...
He had a VIP invitation.
Mkuu tulipeleka wengi. Nadhani haijawahi kutokea bongo kupeleka nominees wengi kwenye tuzo kama ilivotokea kwa hii!!Hivi Diamond Achukue Tuzo Kwa Songs Zipi? Tukiwaambia hana Hits Songs kwa mda Sasa Mnatoa mapovu,
Uwezi kuchukua Tuzo kwa kutegemea Idea za Watu Wengine unasubili Watoe ngoma uombe Remix hahaa endeleeni kusifia Ujinga wa kuiga Mziki wa Nigeria,.
Huo ujinga Umenunua Duka Gani?