Kwanini bongo imetoka kapa kwenye soundcityMVP 2020?

Kuweka utani pembeni, na hakika kama kuna msanii wa bongo angeshukua tuzo jana lazima kuna uzi ungeanzishwa hapa ambao ungekuwa na msafara wa wenye nia njema na ma hater!!!
Usinge fungualiwa nimeongea hivi sababu najua ninachokiongea.
 
🤣🤣🤣 nyie ndio wale nikifungua uzi mnasema "kwani huna kazi za kufanya" utazani nakula kwenu.

I know u kijana.
Mbona unajistukia sasa, Leta reference yoyote niliowahi kukwanbia hayo unayodai..

Mbona me sikujui unanijuaje?

I don't know u little one
 
Kuweka utani pembeni, na hakika kama kuna msanii wa bongo angeshukua tuzo jana lazima kuna uzi ungeanzishwa hapa ambao ungekuwa na msafara wa wenye nia njema na ma hater!!!
Acha kupoteza muda wako kubishana na chawa mkuu. Kitu kiko wazi anabisha
 
Sema naona hizi tuzo kama unaija mwingi mnoo.. Sema walioshinda walistahili wako fresh..

Inabidi East Asia tuwe na tuzo zetu sasa..
Tutaambia nini wakenya?

Ni tuzo za wa nigeria. Sijasikia hao waandaaji wakitafuta - Excellence in Philanthropy, Excellence in Social Entrepreneurship and Digital Influence na Community and Socio-Political Development - nje ya nchi yao!!!
 
Mbona unajistukia sasa, Leta reference yoyote niliowahi kukwanbia hayo unayodai..

Mbona me sikujui unanijuaje?

I don't know u little one
Nijishtukie nimuogope nani? Reference zipo ila mda huo sina wa kutafuta.
 
Ni tuzo za wa nigeria. Sijasikia hao waandaaji wakitafuta - Excellence in Philanthropy, Excellence in Social Entrepreneurship and Digital Influence na Community and Socio-Political Development - nje ya nchi yao!!!
hapo sasa
 
Chawa........... 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sasa sijui unataka reference gani.
Chawa Kumbe mnakuwaga mapoyoyo namna hii? umesahau hata ulichoandika.. Hahah

Kwaheri bwana chawa..
Kingine wanaume hatutumii emoji za kike namna hiyo.. Au wewe ndo juma lukole nini..?
 
Hivi Diamond Achukue Tuzo Kwa Songs Zipi? Tukiwaambia hana Hits Songs kwa mda Sasa Mnatoa mapovu,

Uwezi kuchukua Tuzo kwa kutegemea Idea za Watu Wengine unasubili Watoe ngoma uombe Remix hahaa endeleeni kusifia Ujinga wa kuiga Mziki wa Nigeria,.

Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
 
Chawa Kumbe mnakuwaga mapoyoyo namna hii? umesahau hata ulichoandika.. Hahah

Kwaheri bwana chawa..
Kingine wanaume hatutumii emoji za kike namna hiyo.. Au wewe ndo juma lukole nini..?
I know kijana 🤣🤣🤣 ,as long sili kwenu hainsishtui.

Sometimes huhitaji reference bali wewe mwenyewe ni pointer inayo refer hiyo reference.
 
Ni tuzo za wa nigeria. Sijasikia hao waandaaji wakitafuta - Excellence in Philanthropy, Excellence in Social Entrepreneurship and Digital Influence na Community and Socio-Political Development - nje ya nchi yao!!!
Unaalikwa Kwenye Tamasha na Wasanii Wenzio kama 8 Kisha unachukua Video na Kujisifu kua Wewe ndo Umejaza Uwanja peke yako alafu uje utegemee nini, uko hakuna Uswahili vigezo na Mashariti Vinazingatiwa

Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
 
Mkuu tulipeleka wengi. Nadhani haijawahi kutokea bongo kupeleka nominees wengi kwenye tuzo kama ilivotokea kwa hii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…