Kwanini bongo imetoka kapa kwenye soundcityMVP 2020?

Kabisa mzee na wasiomjua huhis ni mnaija kibiashara inamsukuma ila kwenye mambo kama hizi sometimes inakuwa bahat nasibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana they are straight shida tumezoea janjajanja ndo mana mambo kama hizi zikitokea macho yanatutoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True mkuu bongo hatuna sound ya kwetu na WCB ndio wanaweka hali kuwa mbaya zaidi maana wamekuwa copy cats wa chochote kinachotrend ilimradi watengeneze pesa. Huwezi kuwashinda watu kirahisi kwa kuwaiga wanachokifanya
Sure bro..kibiashara itawaboost bt kwenye serious competition kufeli ni asilimia kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True mkuu bongo hatuna sound ya kwetu na WCB ndio wanaweka hali kuwa mbaya zaidi maana wamekuwa copy cats wa chochote kinachotrend ilimradi watengeneze pesa. Huwezi kuwashinda watu kirahisi kwa kuwaiga wanachokifanya
Lakini pia kama unaangalia vizur WCB wanaji isolate sana mzee..from their fellow musicians hadi media houses... Hii inawanyima nguvu kwenye baadhi ya maeneo..kupata kolabo na msanii Wa WCB kaka ni bora ukatafute kolabo Nigeria wakati mwingine wanafanya na wanaowapenda wao na wasanii Wa nje ndo wanapewa kipaumbele zaidi hii pia ni mbaya kipindi kile ilikuwa Diamond akishiriki tuzo Wasanii kibao watapost kwenye page zao watu watapiga kura na mambo yataenda bt now days watu wanachukulia poa nahisi MAHUSIANO ni jambo la msingi sana kwenye tasnia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi nimependa waandaaji wa hizi tuzo wameweka vipengele vichache na washindi wote wamestaili
Tatizo letu sio swala la kuiga au kuimba kiswahili ndo kunatuangusha
Mbna alikiba amekomalia kuimba bongo fleva lakini hatuoni maajabu yoyote
Tatizo letu tumeshindwa kuwekeza kwenye muziki inabidi tuanze na kujenga kumbi za kisasa ambazo wasanii hata wa nje watakuwa wanakuja hapa
Serikali iangalie maslai ya wasanii wanufaike ndo wataweza kushindana na wanaija sababu naija msanii anaweza kutoa video tatu kwa mwezi
Lakini huku kwetu msanii mkubwa kama alikiba anakosa ata pesa ya kulipia studio je hawa wasanii wengine itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…