Kwanini bongo imetoka kapa kwenye soundcityMVP 2020?

True mkuu bongo hatuna sound ya kwetu na WCB ndio wanaweka hali kuwa mbaya zaidi maana wamekuwa copy cats wa chochote kinachotrend ilimradi watengeneze pesa. Huwezi kuwashinda watu kirahisi kwa kuwaiga wanachokifanya
Mkuu mondi akiamua kutoa bongo flava yenye viwango anaweza, ila naona kama kuna wakati ana balance na hali halisi ya biashara!!!

Kama "icheketue" naona kama bongo fleva halisi. Ila kama haikufanyiwa promo kubwa kama hizi za "inama" na "babalao" ...
 
Nasty C, AKA & Nyovest hawapo kwenye category ya Hip Hop [emoji23][emoji23][emoji23] wanamatani mabaya hawa Jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…