Burnaboy
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 1,070
- 1,439
- Thread starter
- #101
Mkuu mondi akiamua kutoa bongo flava yenye viwango anaweza, ila naona kama kuna wakati ana balance na hali halisi ya biashara!!!True mkuu bongo hatuna sound ya kwetu na WCB ndio wanaweka hali kuwa mbaya zaidi maana wamekuwa copy cats wa chochote kinachotrend ilimradi watengeneze pesa. Huwezi kuwashinda watu kirahisi kwa kuwaiga wanachokifanya
Kama "icheketue" naona kama bongo fleva halisi. Ila kama haikufanyiwa promo kubwa kama hizi za "inama" na "babalao" ...