RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Tuna mradi mkubwa kutoka Uganda hadi Tanga jambo la kushangaza bunge la Ulaya halitaki kabisa mradi huo utekelezwe kwa minajili ya uharibifu wa mazingira cha kujiuliza yale mabomba ya gesi ya Urusi kwenda Urusi yenyewe mbona hayakuzuiliwa?
Marekani inaongoza kwa kuwa na mabwawa makubwa ya kuzalisha umeme ikifuata China hawa watu wakati wanafanya hayo walifanya kwa ajili ya watu wao hakuna cha uharibifu wa mazingira ila huku kwetu tunaharibu mazingira.
Kama miradi ya gesi na mafuta inazuiliwa je na ile mikataba ya LNG maana yake haina maana yoyote.
Je, Rais yupo tayari kusikiliza matamko ya watu hao huku akiona nchi yake haina nishati ya kutosheleza?
Ifike mahali kama nchi hawa watu tusiwaabudu kwa kila kitu kwa sababu eti wanatupa misaada ya mikopo kama tutaendelea kuwaabudu watu hawa hakika nchi yetu utaendelea kuwa maskini ingawa umasiki wa watanzania umefanywa na viongozi wa CCM yenyewe.