Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Halafu kikatokea nini? Ingawa kibajaji hajawahi kuwa mjumbe wa Kamati Kuu.Kibajaj na Zitto walikuwa wajumbe wa kamati kuu ya Chadema!
Nimekuambia toka lini CCM mkawa na utaratibu wa kujibu hoja? Yaan muache kujadil namna ya kuua mjibu hoja?Hapa tunazungumzia benki ya Dunia bwashee!
Hii hoja yako ina mashiko sana lakini Mnama hawezi kukuelewa!!Nimekuambia toka lini CCM mkawa na utaratibu wa kujibu hoja? Yaan muache kujadil namna ya kuua mjibu hoja?
Kibajaj na Zitto walikuwa wajumbe wa kamati kuu ya Chadema!
Uwezo wa kujenga hoja na kuandika wanao?Bahati nzuri Bunge letu limesheheni wabobezi na ngumbaro wachache, sasa kwanini hoja za Zitto zisijibiwe kwa hoja?
Zitto ameiandikia Benki ya Dunia katika nafasi yake kama Mbunge na siyo kiongozi wa chama. Hivyo Bunge lina nafasi nzuri ya kumkanusha Zitto kwa kuiandikia WB ukweli ulivyo badala ya kumshambulia Zitto kama mtu binafsi.
Niwape changamoto hii mzee Chenge na Dr Tulia: tumieni weledi na kuweka siasa pembeni ili jambo hili liishe.
Maendeleo hayana vyama!
Ukiwa kibogoyo utakula kuku kwa mlijaHoja murua ina mashiko.....Kwa nini hawakutaka kuzijibu hoja za Lissu na badala yake wakakitaka kichwa chake niletwe mezani kama kile cha Yohana Mbatizaji.
Ni muendelezo tu wa awamu ya kushindwa kujibu hoja !!
CCM inasema Kuzipangua hoja zinazomulika ukweli si kazi ya kitoto chief....Why don't u use the 2nd option inayoonekana kuwa nyepesi less risk?
Bahati nzuri Bunge letu limesheheni wabobezi na ngumbaro wachache, sasa kwanini hoja za Zitto zisijibiwe kwa hoja?
Zitto ameiandikia Benki ya Dunia katika nafasi yake kama Mbunge na siyo kiongozi wa chama. Hivyo Bunge lina nafasi nzuri ya kumkanusha Zitto kwa kuiandikia WB ukweli ulivyo badala ya kumshambulia Zitto kama mtu binafsi.
Niwape changamoto hii mzee Chenge na Dr Tulia: tumieni weledi na kuweka siasa pembeni ili jambo hili liishe.
Maendeleo hayana vyama!
Eti wanadai ni sisi tu wa JF tunaojua pini ya Bashite kwenda duniani. Huko kitaa hawayajui.
Kwanini waumize vichwa wakati AK 47 na risasi zipo za kumwaga?Bahati nzuri Bunge letu limesheheni wabobezi na ngumbaro wachache, sasa kwanini hoja za Zitto zisijibiwe kwa hoja?