Kwanini CAF Cup halifananishwi na CAF Confederation Cup?

Yaanu hata mimi nadhani uko sahihi.

Unaajua kipindi hiko Yanga alikuwa anapewa ubingwa kaabla hata ligi haijaanza.

Alafu isitoshe viongozi wote wa TFF tangu mwaka 1935 walikuwa wanapenda kuipa yanga tu ubingwa bila sababu ya msingi.

Kwa sababu kipindi hiko ndio timu ilikuwa inapendwa kuliko yeyote ile.

Kwa kuhitimisha viongozi wote waliopita na marais wote waliopita hawana akili za mpira kukushinda wewe.

Hakika unastahili maua yako.
 
Basi tuseme Simba mmewahi kucheza fainali za CAF confederation cup! Vipi umesikia raha?
 
Acha upuuzi, wakati huo mashindano hayo hayakuitwa hivyo.
Yaliitwaje mkuu?

Kwa hiyo unakubali kwamba Yanga ni Club ya kwanza Tanzania kufika fainali ya CAFCC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…