demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
- Thread starter
- #41
Yaanu hata mimi nadhani uko sahihi.Mnahangaika sana ili muweke rekodi kuizidi Simba lakini kumbukeni hata ubingwa wa kihistoria ni wa mchongo sana.Maana ubingwa wa ligi daraja la kwanza sio sawa na ubingwa wa ligi kuu.
Idadi ya timu imebadilika,kila kitu kimebadilika.Zamani ukishinda unapata pointi 2 sare pounti 1.Sasa unajiitaje bingwa mara 29?
Unaajua kipindi hiko Yanga alikuwa anapewa ubingwa kaabla hata ligi haijaanza.
Alafu isitoshe viongozi wote wa TFF tangu mwaka 1935 walikuwa wanapenda kuipa yanga tu ubingwa bila sababu ya msingi.
Kwa sababu kipindi hiko ndio timu ilikuwa inapendwa kuliko yeyote ile.
Kwa kuhitimisha viongozi wote waliopita na marais wote waliopita hawana akili za mpira kukushinda wewe.
Hakika unastahili maua yako.