tikakami wa lopelope
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 1,377
- 674
Japo umerudisha swali ntakusaidia kidogo..
Kushushwa kwa Quran na Kuhusu Habari ya Msikiti wa Al Aqsa ambao upo Jerusalem ni vitu viwili tofauti kabisa.
Quran imepokelewa Saudia si Jerusalem..
Mkuu..Basi hapo Al Aqsa itakuwa kuna mafundisho ya kina Nabii Mussa yalifatwa ili kupata uhalali wa Quran.
Mkuu hiyo laana imetoka kwa baba yao mwenyewe aliyeitwa Yakobo(Israeli). Fahamu kwamba Yakobo ambaye alibadilishwa jina na MUNGU na kuitwa Israeli, alikuwa pia anatambulika kama Nabii. Sasa kama nilivyosema Nabii wa MUNGU akitoa laana, laana hiyo inakuwa imetoka kwa MUNGU mwenyewe, Vivyo hivyo na baraka pia.Mwanzo 49
5 Simeoni na Lawi ni ndugu;Panga zao ni silaha za jeuri.
6 Nafsi yangu, usiingie katika siri yao,Fahari yangu usiungane na kusanyiko lao,Maana katika ghadhabu yao walimuua mtu,Na kwa ukaidi wao walikata mshipa wa ng?ombe;
7 Ghadhabu yao na ilaaniwe, maana ilikuwa kali,Na hasira yao, maana ilikuwa haina huruma.Nitawagawa katika Yakobo,Nitawatawanya katika Israeli
Mkuu hapa vp mbona kuna waisrael wamelaaniwa hapa ama kwa kuwa imetoka kwa Muisrael mwenzao?? Ikiwa na maana muisrael akimlaani muisrael mwenzake its ok ila mtu asiye musirael akimlaani muisrael ndio haifanyi kazi??
Simply una maana waisrael ndio wenye haki pekee ya kulaani mtu??
Mkuu zitto junior hii hoja nimeshaijibu, soma comment yangu namba [HASHTAG]#225[/HASHTAG] utaona.Mkuu maelezo yako nimeyaelewa ila Son of Gamba alisema HAKUN mtu anaweza mlaani muisraeli yeyote na hiyo laana ikafanya kazi ndio nkamuuliza mbona Musiraeli Huyo lawi na shimeon walilaaniwa?? Yeye amesema wenye nguvu ya kulaani Israel ni MUNGU pekee ndio nikauliza je hapa Muisrael (LAWI) alipolaaniwa na baba yake ina maana waisraeli wanaweza kufanya kazi ya Mungu??
Hapo ndio sijamuelewa mkuu
Mkuu NaughtyGuy hii hoja nimeshaijibu kwa kirefu sana kwenye comment yangu namba 103. Tafuta hii comment kwenye huu uzi na usome ni kwanini Kaanani alilaaniwa na siyo wale wengine.NA KWANINI AWE KAANI PEKE YAKE ILIHALI HAM ANAWATOTO WANNE. KWA NADHARIA YAKO HII LAANA ILIBIDI IENDE KWA WATOTO WOTE WA 4. SIO KWA KAANANI PEKE YAKE
Mkuu..
Al Aqsa ilijengwa na King Solomon.
Okay mkuu ntaipitia barikiwaMkuu zitto junior hii hoja nimeshaijibu, soma comment yangu namba [HASHTAG]#225[/HASHTAG] utaona.
Mkuu nimekuelewa vyema kabisa ila kama sauti ya Nabii inawakilisha sauti ya Mungu mbona Mungu alipotoa hukumu kuwa wacanaan wote wauawe bila huruma tunaona ''Nabii''/muamuzi Joshua akiacha wacanaan wengine kinyume na sauti ya Mungu alafu cha kushtusha Mungu anakuja kuwaadhibu Israel pale wanapokuja kuua hao wacanaan kipindi cha SuleimaniMkuu hiyo laana imetoka kwa baba yao mwenyewe aliyeitwa Yakobo(Israeli). Fahamu kwamba Yakobo ambaye alibadilishwa jina na MUNGU na kuitwa Israeli, alikuwa pia anatambulika kama Nabii. Sasa kama nilivyosema Nabii wa MUNGU akitoa laana, laana hiyo inakuwa imetoka kwa MUNGU mwenyewe, Vivyo hivyo na baraka pia.
Ukitaka kujua hiyo laana ilikuwa inatolewa kwa niaba ya MUNGU mwenyewe kupitia kinywa cha Yakobo, soma tena huo mstari wa saba hapo nilipoweka alama nyekundu; "7..........nitawagawa katika Yakobo, Nitawatawanya katika Israeli". Hapa utona Yakobo ambaye ndiye Israeli anaongea kwa niaba ya..., kwa niaba ya MUNGU, ni MUNGU peke yake mwenye uwezo wa "kuwagawa na kuwatawanya". Hivyo laana hii ilitoka kwa MUNGU mwenyewe kupitia kinywa cha Yakobo ambaye alikuwa ni Nabii wa MUNGU.
Na ukitaka kujua kuwa huu ulikuwa ni Unabii ni pale ambapo utaona Unabii huu ulikuja kutimia, maana ni kweli kabisa kabila la Simeoni na Lawi yalitawanywa katika Israeli. (Soma YOSHUA 21:1)
Kama nilivyosema mwanzoni, ni BWANA MUNGU peke yake mwenye uwezo wa kuwalaani wana wa Israeli na laana hiyo ikatimia. BWANA MUNGU anaweza kuwalaani kwa kutumia kinywa cha Nabii, kama vile alivyotumia kinywa cha Nabii Yakob, Musa, Eliya, Isaya, Yeremia n.k.
Haya mavitabu walioyaandika sijui hawakuona makosa ya kizembe Kama hayo.....hasa biblia yenyewe kwa yenyewe inakinzani Kati ya mwandishi na mwandishi....Mkuu nimekuelewa vyema kabisa ila kama sauti ya Nabii inawakilisha sauti ya Mungu mbona Mungu alipotoa hukumu kuwa wacanaan wote wauawe bila huruma tunaona ''Nabii''/muamuzi Joshua akiacha wacanaan wengine kinyume na sauti ya Mungu alafu cha kushtusha Mungu anakuja kuwaadhibu Israel pale wanapokuja kuua hao wacanaan kipindi cha Suleimani
SWALI: Je kama sauti ya Nabii ni sauti ya Mungu kwanini zipingane
MUNGU: Uwa wote
Kumb 20:17
17 lakini uwaangamize kabisa, Mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, kama alivyokuamuru BWANA, Mungu wako;
18 wasije wakawafunza kufanya mfano wa machukizo yao yote, waliyoifanyia miungu yao; hivyo itakuwa ni makosa juu ya BWANA, Mungu wenu.
NABII: waacheni wacanaan wengine
Joshua 9:15
15 Naye Yoshua akafanya amani pamoja nao, na kufanya agano nao, ili kwamba waachwe hai; na wakuu wa mkutano wakawaapia
NB: kumbuka hawa wagibeoni sio waliachwa tu kwa huruma la hasha.... bali walidanganya kuwa sio wacanaan na ndio joshua aliwaacha sasa Je kama sauti ya Nabii na Mungu ni moja iweje watofautiane more so baada ya kudanganywa ina maana Mungu alizidiwa maarifa na wagibeoni kiasi adanganywe hadi ageuze Hukumu kwa wacaanan ??
mkuu ilo ndo moja la kosa ambaloYoshua alifanya na lilisababisha hadi kukawa na mapigano baina ya wana wa Iraeli na wenyeji wao waliowaacha ambayo yalikuja kutokea baadae baada ya Yoshua kufa.Mkuu nimekuelewa vyema kabisa ila kama sauti ya Nabii inawakilisha sauti ya Mungu mbona Mungu alipotoa hukumu kuwa wacanaan wote wauawe bila huruma tunaona ''Nabii''/muamuzi Joshua akiacha wacanaan wengine kinyume na sauti ya Mungu alafu cha kushtusha Mungu anakuja kuwaadhibu Israel pale wanapokuja kuua hao wacanaan kipindi cha Suleimani
SWALI: Je kama sauti ya Nabii ni sauti ya Mungu kwanini zipingane
MUNGU: Uwa wote
Kumb 20:17
17 lakini uwaangamize kabisa, Mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, kama alivyokuamuru BWANA, Mungu wako;
18 wasije wakawafunza kufanya mfano wa machukizo yao yote, waliyoifanyia miungu yao; hivyo itakuwa ni makosa juu ya BWANA, Mungu wenu.
NABII: waacheni wacanaan wengine
Joshua 9:15
15 Naye Yoshua akafanya amani pamoja nao, na kufanya agano nao, ili kwamba waachwe hai; na wakuu wa mkutano wakawaapia
Ila mkuu ukisoma vizuri ukianzia yoshua 9:3 utaona jinsi wenyeji wa Gibeoni walivyofanya kwa hila kuwaadaa wana wa Israeli na wana waisraeli walifanya kiapo nao na kuwaapia kwa BWANA ila baadae walipogundua mistari ya mbele unaona walinung'unika ila walishindwa kuwaangamiza kwani waliogopa walishafanya agano nao na wakaweka na kiapo na hayo
NB: kumbuka hawa wagibeoni sio waliachwa tu kwa huruma la hasha.... bali walidanganya kuwa sio wacanaan na ndio joshua aliwaacha sasa Je kama sauti ya Nabii na Mungu ni moja iweje watofautiane more so baada ya kudanganywa ina maana Mungu alizidiwa maarifa na wagibeoni kiasi adanganywe hadi ageuze Hukumu kwa wacaanan ??
Mkuu elewa kwamba MUNGU anapomtumia mwanadamu kufikisha ujumbe wake au kusema neno la kinabii haina maana kwamba huyo mwanadamu anakuwa anatawaliwa na nguvu za Kimungu kiasi kwamba hawezi kuwa na maamuzi yake binafsi kama mwanadamu. Hata kama mtu fulani ni Nabii, mtu huyu bado anakuwa na uhuru wake binafsi wa kufanya au kuamua nini cha kufanya. Ile free will inakuwa vile vile na wala haibadiliki.Mkuu nimekuelewa vyema kabisa ila kama sauti ya Nabii inawakilisha sauti ya Mungu mbona Mungu alipotoa hukumu kuwa wacanaan wote wauawe bila huruma tunaona ''Nabii''/muamuzi Joshua akiacha wacanaan wengine kinyume na sauti ya Mungu alafu cha kushtusha Mungu anakuja kuwaadhibu Israel pale wanapokuja kuua hao wacanaan kipindi cha Suleimani
SWALI: Je kama sauti ya Nabii ni sauti ya Mungu kwanini zipingane
MUNGU: Uwa wote
Kumb 20:17
17 lakini uwaangamize kabisa, Mhiti, na Mwamori, na Mkanaani, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi, kama alivyokuamuru BWANA, Mungu wako;
18 wasije wakawafunza kufanya mfano wa machukizo yao yote, waliyoifanyia miungu yao; hivyo itakuwa ni makosa juu ya BWANA, Mungu wenu.
NABII: waacheni wacanaan wengine
Joshua 9:15
15 Naye Yoshua akafanya amani pamoja nao, na kufanya agano nao, ili kwamba waachwe hai; na wakuu wa mkutano wakawaapia
NB: kumbuka hawa wagibeoni sio waliachwa tu kwa huruma la hasha.... bali walidanganya kuwa sio wacanaan na ndio joshua aliwaacha sasa Je kama sauti ya Nabii na Mungu ni moja iweje watofautiane more so baada ya kudanganywa ina maana Mungu alizidiwa maarifa na wagibeoni kiasi adanganywe hadi ageuze Hukumu kwa wacaanan ??
mkuu hili suala linanipa gagaziko sana..nifahamuvo mimi ni kuwa Mungu ni Mungu wa Haki kila mja atalipwa alilolitenda,kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe sasa iweje tena tuaminishwe kuwa kosa la mwingine abebeshwe dhambi au laana mwingine kiukweli hapa napatwa na gagaziko ukizingatia Mungu hashindwi na lolote kwanini atumie formula ya kuadhibu mwingine kwa kosa alilofanya mwingineAngalia katika koo ama soma bandiko la laana za kifamilia... Unakuta waliofanya kosa ni wengine kabisa lakini taabu wanaipata mpaka kizazi cha tatu... Connection ya damu
Amen [emoji120]Halafu kuna mpuuzi mmoja anataka kuleta ujinga kuifunga JF, nasema ashindwe na atakayepata wazo la kuifunga JF kufa na afe yeye hata na uzao wake wote
Okay nikiri sijui maandiko kama ww ndio maana nikaleta mada hapa ili wajuzi mnisaidie interpretation maana najifunza je unaweza kunielewesha kwanini canaan alilaaniwa sio Ham.... Tumeskia maoni ya wengi je yako ni yapi ili tusipotoke tena.Mwandishi wa huu uzi, aidha hajui chochote kuhusu tafsri ya scriptures ama amemeza tafsir toka chanzo kinachopotosha
Kuna ishu ya damu hapa kizalia kinahusika sanamkuu hili suala linanipa gagaziko sana..nifahamuvo mimi ni kuwa Mungu ni Mungu wa Haki kila mja atalipwa alilolitenda,kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe sasa iweje tena tuaminishwe kuwa kosa la mwingine abebeshwe dhambi au laana mwingine kiukweli hapa napatwa na gagaziko ukizingatia Mungu hashindwi na lolote kwanini atumie formula ya kuadhibu mwingine kwa kosa alilofanya mwingine
ZINGATIO:MUNGU NI MUNGU WA HAKI NA KILA MMOJA ATALIPWA KULINGANA NA ALILOTENDA KWA MUJIBU WA DINI ZOTE KUU IKO HIVO