Mkandara kaka, huyu mama mi ninavyoona ndio compromise choice. Sitta na Chenge wote wataharibu chama. Kwa CCM wakitaka mambo yao yajipange, wampitishe huyu mama. Sitta na Chenge majina yao yanaweza yasirudi from CC. Ile hela ya Chenge inamtia kiburi, anything can happen. Inabidi wamchuje mapeema.