Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkandara kaka, huyu mama mi ninavyoona ndio compromise choice. Sitta na Chenge wote wataharibu chama. Kwa CCM wakitaka mambo yao yajipange, wampitishe huyu mama. Sitta na Chenge majina yao yanaweza yasirudi from CC. Ile hela ya Chenge inamtia kiburi, anything can happen. Inabidi wamchuje mapeema.Suleiman,
Duh, Anna Abdallah? - hawezi kupita mama huyu roho mbaya kupita kiasi....yaani sijawahi kuona wala kusikia na umri wangu huu..