Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Harmonize amekuwa aki perform wimbo wake wa UNO mbele ya Magufuli kila mara
Kwenye wimbo huu unaozungumzia kiuno (Uno) Kuna mstari unaosema 'Si ndio lile Gwajima alimmwagia kondoo'
Akimaanisha video fulani ambayo ilipakiwa mtandaoni ikimuonyesha mtu anayedaiwa kuwa Gwajima akifanya ngono na kukatika kiuno juu ya kifua cha binti ambaye hakufahamika
Kwa kuwa Polisi wakishirikiana na wataalamu wa digital media walichunguza na kuhitimisha video Ile haikuwa ya Gwajima iweje harmonize anazidi kumchafua kwenye wimbo wake tena mbele ya Magufuli? Wakati huyu Ni mgombea Ubunge wa CCM Jimbo muhimu la Kawe?
Wimbo huu unapaswa kufanyiwa edit ndio uchezwe radioni au kwenye tamasha lolote hasa linalohusu kampeni za CCM