Uchaguzi 2020 Kwanini CCM hawamkemei Harmonize kumtukana Gwajima kila mara, tena mbele ya Magufuli?

Uchaguzi 2020 Kwanini CCM hawamkemei Harmonize kumtukana Gwajima kila mara, tena mbele ya Magufuli?

Harmonize amekuwa aki perform wimbo wake wa UNO mbele ya Magufuli kila mara

Kwenye wimbo huu unaozungumzia kiuno (Uno) Kuna mstari unaosema 'Si ndio lile Gwajima alimmwagia kondoo'

Akimaanisha video fulani ambayo ilipakiwa mtandaoni ikimuonyesha mtu anayedaiwa kuwa Gwajima akifanya ngono na kukatika kiuno juu ya kifua Cha binti ambaye hakufahamika

Kwa kuwa Polisi wakishirikiana na wataalamu wa digital media walichunguza na kuhitimisha video Ile haikuwa ya Gwajima iweje harmonize anazidi kumchafua kwenye wimbo wake Tena mbele ya Magufuli? Wakati huyu Ni mgombea Ubunge wa CCM Jimbo muhimu la Kawe?

Wimbo huu unapaswa kufanyiwa edit ndio uchezwe radioni au kwenye tamasha lolote hasa linalohusu kampeni za CCM

Ni kweli kabisa. Tatizo hawa watu wanezoea kuimba matusi mpaka wamekosa breaki. Lazima abadilishe
 
Kamtukana vipi wakati ni ukweli? kama unabisha kamuulize Mbasha alilia kama mtoto.
 
Bila video ya miuno ya gwajiboy na uno la Kondeboy huu uzi ni umbeya tu
 
Back
Top Bottom