Kwanini CCM ilishinikiza kuondolewa kadi za malipo kwenye miradi ya mwendokasi DSM? Wananufaikaje na wizi wa tiketi za kuchana kwa mkono?

Kwanini CCM ilishinikiza kuondolewa kadi za malipo kwenye miradi ya mwendokasi DSM? Wananufaikaje na wizi wa tiketi za kuchana kwa mkono?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Viongozi wa Dart wanadai kuondolewa kwa mfumo wa kadi za malipo vituo vya mwendokasi yalikuwa maazimio ya chama na serikali na kwamba mifumo hiyo iliondolewa kwa lengo la kuwanufaisha watu fulani.

Baada ya mifumo hiyo kuondolewa iliamuliwa makampuni ya ulinzi wakiwemo vijana wa jkt waanze kulinda vituo na marungu huku wahudumu wakipewa kazi za kuchana tiketi kwa mikono

Kupitia maamuzi hayo ilipendekezwa pia miradi mpya wa Mbagala na huko Mbezi wasijenge miundombinu ya ukatishaji tiketi kwani mifumo hiyo itawapunguxia ulaji wakubwa

Nakubali hizi ni mbinu nzuri za kula fedha za umma ila najiuliza nani ananufaika? Nasikia pia sasa hivi kampuni umekatazwa kununua mabasi mapya badala yake ANATAFUTWA MGENI WAKUJA KUKUSANYA MAPATO KWENYE VITUO AMBAVYO VIMEJENGWA KWA KODI WATANZANIA

Inshort mkakati uliopo ni kuwafanya watanzania kuwa vibarua wa wageni kwenye miradi hii

Nani katuloga?
 
Ingekuwa tuu km pale ferry unaswap tuu huyo, hakuna haja ya kudai chenji.
 
Back
Top Bottom