Kwanini CCM imeamua kukimbilia mikoa ya Kusini kutafuta uungwaji mkono DP World?

Kwanini CCM imeamua kukimbilia mikoa ya Kusini kutafuta uungwaji mkono DP World?

The Shah of Tanganyika

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2023
Posts
602
Reaction score
1,572
Baada ya kukataliwa na wasomi pamoja na wachambuzi wengi wengi waliousoma mkataba wa DP World, tumeshuhudia CCM ikikaa kikao ghafla ghafla na kuamua kwenda kutoa elimu kuhusu huu mkataba mbovu kuliko mikataba yote ya nchi hii.

CCM iliamua kuanzia kampeni zake vijijini huko mikoa ya kusikokuwa na binadamu wanaojua kusoma mambo magumu ya vifungu vya mikataba.

Pia tumeshuhudia wao CCM badala ya kuwaelimisha na kuwasomea hao wananchi vifungu vya huu mkataba, wao wameamua kuwaelezea propaganda kuwa mama Samia ana sura nzuri pamoja na upuuzi mwingine usiohusiana na mikataba.

Tujiulize ni kwanini CCM wameamua hayo? Kwanini wasitembee na mkataba wenyewe na kuwasomea wananchi vifungu vilivyoandikwa kwenye mkataba?

Kwanini wameamua kuanzisha kampeni kwa watu wasioelewa maana ya mikataba?
 
Huko Kuna rasilimali na watu wa kazi Wenye maamuzi🙏sio hao ombaomba kina matonya waliokimbia kwao,wako hapo daslam wanaombaomba.
 
Back
Top Bottom