Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
CCM inazidi kukosa nguvu kwenye majiji na makao makuu ya miji; hakuna mtu anayevaa kofia na t-shirt kama ishara ya uzalendo tena....wazee nao wamepungua kwa kasi huku idadi ya vijana ikiongezeka.
Idadi kubwa ya vijana wanahama kutoka maeneo yasiyo na ajira na kukimbilia mijini. Dar es salaam pekee kuna wapiga kura zaidi ya milion nne jambo ambalo nitishio kubwa sana kwa asiyekubalika mjini.
Endapo vyama vya upinzani watafanya mambo mawili wataendelea kuiondoa kabisa CCM mijini;
1. Watashawishi vijana kujiandikisha kupiga kura
2. Watashawishi vijana kupiga kura na kulinda
Basi upo uwezekano mkubwa kufikia 2025 vijana wakaamua hatima ya nchi hii
Swali ; je vijana wapo tayari kushiriki siasa?