Kwanini CCM inavidharau Vyama Vyote vya Upinzani isipokuwa CHADEMA tu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mfano mzuri ni huu Uchaguzi wa Serikali za mitaa huwezi kukuta CCM au hata Chawa wake akina Lucas, Choicevariable na Mchungaji Msigwa wakivizungumzia Vyama vingine zaidi ya CHADEMA

Tumeambiwa na Daktari Slaa kuwa CHADEMA iko ICU lakini mbona CCM bado inahangaika nao usiku na Mchana

CCM haijishughulishi Kabisa na ACT Wazalendo, CUF, TLP, Nccr wala Tule tuvyama twingine tudogodogo

Kwanini CHADEMA?🐼
 
Pedeshee Amosi Makalla hazingumzii Chama kingine chochote zaidi ya Chadema.
Hata vyama fulani vinavyo jiita vya upinzani huvalishawa suti na kuitiwa press kuikashifu Chadema vikiongozwa na ADC, Demokrasia Makini ,Ford,Labour party na vyama vya Cheyo na Shibuda
 
Kwasababu wanajua wako madarakani sio kutokana na kura za wananchi, bali ni kutona na uoga wa wananchi kukaa kimya kila mara kura za cdm zinapoporwa.
 
Mfano mzuri ni huu Uchaguzi wa Serikali za mitaa huwezi kukuta CCM au hata Chawa wake akina Lucas, Choicevariable na Mchungaji Msigwa wakivizungumzia Vyama vingine zaidi ya Chadema

Tumeambiwa na Daktari Slaa kuwa Chadema iko ICU lakini mbona CCM bado inahangaika nao usiku na Mchana

CCM haijishughulishi Kabisa na ACT Wazalendo, CUF, TLP, Nccr wala Tule tuvyama twingine tudogodogo

Kwanini Chadema?!!🐼
Leo naona umekunywa dawa nzuri sn
 
Hao wengine itakuwa wanalipwa kwa namna fulani si bure. Wanalipwa kufanywa MACHAWA wa kuwatafutia kura huku wakijionyesha kama wapinzani. Mfano Chadema waliposusia uchaguzi wao wanatumiwa ionekane vyama vya upinzani vinashiriki uchaguzi.
 
Mfano mzuri ni huu Uchaguzi wa Serikali za mitaa huwezi kukuta CCM au hata Chawa wake akina Lucas, Choicevariable na Mchungaji Msigwa wakivizungumzia Vyama vingine zaidi ya CHADEMA

Tumeambiwa na Daktari Slaa kuwa CHADEMA iko ICU lakini mbona CCM bado inahangaika nao usiku na Mchana

CCM haijishughulishi Kabisa na ACT Wazalendo, CUF, TLP, Nccr wala Tule tuvyama twingine tudogodogo

Kwanini CHADEMA?🐼
Naam. Ewaaa.
 
Matawi yao tena wanazo namba A,B,C,D...
 
Slaa huwa anatishia akirushiwa mfupa anahamisha mashambulizi..

The old man should rest ..
Nadhani hayo mashavu yake huenda ana ugonjwa wa meno, maumivu yakizidi anaanza kuropoka hovyo
 
Mfano mzuri ni huu Uchaguzi wa Serikali za mitaa huwezi kukuta CCM au hata Chawa wake akina Lucas, Choicevariable na Mchungaji Msigwa wakivizungumzia Vyama vingine zaidi ya CHADEMA

Tumeambiwa na Daktari Slaa kuwa CHADEMA iko ICU lakini mbona CCM bado inahangaika nao usiku na Mchana

CCM haijishughulishi Kabisa na ACT Wazalendo, CUF, TLP, Nccr wala Tule tuvyama twingine tudogodogo

Kwanini CHADEMA?🐼
CHADEMA inawakilisha hisia halisi za dhati za Watanzania wengi ikiwa ni pamoja na walioko CCM.

Ni tishio kubwa sana kwa watawala waliokamia kuhujumu nchi kwa kutumia chama dola. Wanaiogopa sauti halisi ya wananchi kupitia kipaza sauti chao cha CHADEMA.
 
Waliidharau na chadema pia ila kilichowakuta 2015 hawatasahau JPM alipigwa mchana kweupe kwenye sanduku la kura so CHADEMA wanajua mziki wake hao wabunge unaowaona wengi waliokolewa na hela za halmashauri na mtandao ulizimwa siku 2.
 
Mfano mzuri ni huu Uchaguzi wa Serikali za mitaa huwezi kukuta CCM au hata Chawa wake akina Lucas, Choicevariable na Mchungaji Msigwa wakivizungumzia Vyama vingine zaidi ya CHADEMA

Tumeambiwa na Daktari Slaa kuwa CHADEMA iko ICU lakini mbona CCM bado inahangaika nao usiku na Mchana

CCM haijishughulishi Kabisa na ACT Wazalendo, CUF, TLP, Nccr wala Tule tuvyama twingine tudogodogo

Kwanini CHADEMA?🐼
CHADEMA wanahatarisha usalama wa Taifa kwa kuhamasisha vurugu na kutekeleza matukio ya kutekana wao kwa wao kisha kuisingizia Serikali ili wapate huruma kutoka mataifa ya nje, kama alivyoeleza Dk. Slaa.

Kauli zao za kushinikiza kutotii sheria na kuzusha hofu miongoni mwa raia ni mfano wa vitendo vinavyotishia amani.

CCM, kama chama tawala, inalinda amani na umoja kwa kuhakikisha sheria zinafuatwa na kuhimiza mijadala ya kisiasa isiyo hatarisha usalama wa nchi.

Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema kwa msisitizo kuwa "Bila CCM imara nchi yetu itayumba," hivyo basi ili nchi isiyumbe tuendelee kuiombea CCM izidi kuwa imara.
 
Nimepigwa ban kosa ni meisema chadema meaning humu hadi bossy mi chadema
 
Wewe na Luca tofauti yenu ni moja,yule ni zwazwa kama mwanaume aliyerogwa kwa kuwekewa shuntama na mke wake alafu wewe ni kada mnafiqw 😂😂😂,Yohanaaa!!!.

Back
Top Bottom