Kwanini CCM inavidharau Vyama Vyote vya Upinzani isipokuwa CHADEMA tu?

Kwanini CCM inavidharau Vyama Vyote vya Upinzani isipokuwa CHADEMA tu?

Chadema syo chama Cha siasa ni SACCO'S YA MBOWE
 
Mfano mzuri ni huu Uchaguzi wa Serikali za mitaa huwezi kukuta CCM au hata Chawa wake akina Lucas, Choicevariable na Mchungaji Msigwa wakivizungumzia Vyama vingine zaidi ya CHADEMA

Tumeambiwa na Daktari Slaa kuwa CHADEMA iko ICU lakini mbona CCM bado inahangaika nao usiku na Mchana

CCM haijishughulishi Kabisa na ACT Wazalendo, CUF, TLP, Nccr wala Tule tuvyama twingine tudogodogo

Kwanini CHADEMA?🐼

View: https://x.com/ExMayorUbungo/status/1849408244457906542?t=4MtJ0KkLJgdxp9qdfXCF7w&s=19
 
Chadema ndio Chama pekee cha Upinzani chenye Dira,Dhamira ya Dhati,mikakati, na Uimara wa Kuiyumbisha CCM na vibaraka wake, Chawa wake Viroboto wake, Pasapasi wake,Madumadu wake,na hata Ngedere ni Chama kilichokua na wanazuoni wenye weledi wa Kutosha na wenye Credibility hata vijana wa Chadema ni tofauti na CCM katika kuchambua na kubainisha changamoto zilizopo katika Jamii na namna ya kuzitatua.

Vijana wa CDM hawategemei Fadhila utakuta hata katika maisha wanajituma sababu hawapendi Fadhila na Kitonga kama CCM wanaoaidiwa Utendaji ili wakapindue meza.

Pia ni CDM ni Chama kinachopikq vijana kizalendo katika kujenga hoja katika majukwaa ya Kisiasa na hata Jamii inayowazunguka ukilinganisha na CCM ambao hata mtu akijipaka NNYA/MAVI usoni watasema amependeza Yani hamna wanachoweza hata kukosoana wao kwa wao

Muweni na Ijumaa Njema Watu wa Mungu🙏
Ni hayo tu kwa Leo
 
Mfano mzuri ni huu Uchaguzi wa Serikali za mitaa huwezi kukuta CCM au hata Chawa wake akina Lucas, Choicevariable na Mchungaji Msigwa wakivizungumzia Vyama vingine zaidi ya CHADEMA

Tumeambiwa na Daktari Slaa kuwa CHADEMA iko ICU lakini mbona CCM bado inahangaika nao usiku na Mchana

CCM haijishughulishi Kabisa na ACT Wazalendo, CUF, TLP, Nccr wala Tule tuvyama twingine tudogodogo

Kwanini CHADEMA?🐼
Humu ndani wanaume wengi wanajua kwamba Mwanamke/demu anakuwaga mgumu sana kuingia kingi katika hatua za awali za kumchombeza. Ukisha mchakata tu,, analainika kama sehemu zake za siri na yeye ndio anaanza kukufuatilia kila corner hadi kero.

Mfano huo ndio wa hivyo vyama ulivyovitaja vya ACT Wazalendo, CUF, TLP, Nccr- etc. Hao tayari wamekisha chakatwa sasa iliyobaki ni wao kuimba mapambio ya aliye wachakata (ccm). Kwa Chadema, Dr. Slaa kasema wapo ICU , maana yake ni kwamba ccm bado anahangaika kuwaingiza kingi ili nao walainike ( Mfano wa demu anayechombezwa huwa ni mgumu sana kutoa kile kitu muhimu, lakini akisha toa ( mfano wa msigwa) basi kwisha habaro yake.
 
Mfano mzuri ni huu Uchaguzi wa Serikali za mitaa huwezi kukuta CCM au hata Chawa wake akina Lucas, Choicevariable na Mchungaji Msigwa wakivizungumzia Vyama vingine zaidi ya CHADEMA

Tumeambiwa na Daktari Slaa kuwa CHADEMA iko ICU lakini mbona CCM bado inahangaika nao usiku na Mchana

CCM haijishughulishi Kabisa na ACT Wazalendo, CUF, TLP, Nccr wala Tule tuvyama twingine tudogodogo

Kwanini CHADEMA?🐼
Sababu zipo wazi ni dau ...vyama vingine dau lao ni pesa ya mbuzi tu ila jadema yupo muhuni mbowe yeye snstaka kuongwa pesa si choni ya mil 800 kwenda juu ...wakati zito kabwe skipewa mil 20 tu anakwenda kwa sangoma kumshukuru ...tundu lissu yeye dau lake nilazima ziwe dola za marekani tena kuanzia dola 500000 zaidi ya tsh mil 1800 huko tofauti yao hipo hapo tu
 
Kwasababu wanajua wako madarakani sio kutokana na kura za wananchi, bali ni kutona na uoga wa wananchi kukaa kimya kila mara kura za cdm zinapoporwa.
Kuamini Chadema huwa inashinda ni mojawapo ya komedi zinazopatikana Bongo tu!
 
Kuamini Chadema huwa inashinda ni mojawapo ya komedi zinazopatikana Bongo tu!
Siamini kama cdm huwa inashinda, lakini nahitaji kuwa mjinga sana kuamini ushindi ccm wanaotangazwa nao ndio uhalisia wa kura😂
 
Haluna upinzani zaidi ya CDM wengine ni vyama tanzu vya ccm
 
Mfano mzuri ni huu Uchaguzi wa Serikali za mitaa huwezi kukuta CCM au hata Chawa wake akina Lucas, Choicevariable na Mchungaji Msigwa wakivizungumzia Vyama vingine zaidi ya CHADEMA

Tumeambiwa na Daktari Slaa kuwa CHADEMA iko ICU lakini mbona CCM bado inahangaika nao usiku na Mchana

CCM haijishughulishi Kabisa na ACT Wazalendo, CUF, TLP, Nccr wala Tule tuvyama twingine tudogodogo

Kwanini CHADEMA?🐼
Kuna chawa sugu @Tlaltaa
 
A
Pedeshee Amosi Makalla hazingumzii Chama kingine chochote zaidi ya Chadema.
Hata vyama fulani vinavyo jiita vya upinzani huvalishawa suti na kuitiwa press kuikashifu Chadema vikiongozwa na ADC, Demokrasia Makini ,Ford,Labour party na vyama vya Cheyo na Shibuda
Amos makala na Kunenge kumbe walikuwa mapedejee ujanani?
 
Sasa ccm ipoteze muda kupambana na vyama ambavyo havijawahi kuwapa changamoto?
 
CHADEMA wanahatarisha usalama wa Taifa kwa kuhamasisha vurugu na kutekeleza matukio ya kutekana wao kwa wao kisha kuisingizia Serikali ili wapate huruma kutoka mataifa ya nje, kama alivyoeleza Dk. Slaa.

Kauli zao za kushinikiza kutotii sheria na kuzusha hofu miongoni mwa raia ni mfano wa vitendo vinavyotishia amani.

CCM, kama chama tawala, inalinda amani na umoja kwa kuhakikisha sheria zinafuatwa na kuhimiza mijadala ya kisiasa isiyo hatarisha usalama wa nchi.

Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema kwa msisitizo kuwa "Bila CCM imara nchi yetu itayumba," hivyo basi ili nchi isiyumbe tuendelee kuiombea CCM izidi kuwa imara.
Mimi katika suala la kusema kwamba vyama pinzani au hao raia wanajiteka au kuumizana wenyewe huwa naona ni sawa na kudharau idara zetu za ulinzi na usalama.Hivyo sipendagi kabsaa kufikiri wala kuamini hivyo.Hii ni kutokana na mazingira wanayokutwa/kukamatwa hao wahanga.Kwa mfano mtu kukamatwa kwenye gari lenye abiria maanake amedharau polisi yetu kwamba hawawezi kumfanya lolote.Pili isue ya tundu Lisu kama ni watu wahuni wahuni tuu waliofanya vile walitudharau mfumo wetu wa ulinzi kwa kiasi gani!?.
Taifa nimuhimu saana kuliko mihemko na itikadi zetu ardhi na mbingu ya taifa letu inawajua wote wenye upendo wa kweli na wenye upendo fake kwa taifa haijalushi wako kitengo,imani,vyeo au chama kipi.Muhimu ni kila mtu awaze ajiulize moyoni ardhi na anga la taifa letu vinamtambuje!? achilia mbaali tunavyo jipambanua mbele za watu.Maana wakati mwingine hata wachawi hukaa viti vya mbele kanisani lakini na hupenda kupewa sifa za waabuduo katika roho na kweli.
 
Mfano mzuri ni huu Uchaguzi wa Serikali za mitaa huwezi kukuta CCM au hata Chawa wake akina Lucas, Choicevariable na Mchungaji Msigwa wakivizungumzia Vyama vingine zaidi ya CHADEMA

Tumeambiwa na Daktari Slaa kuwa CHADEMA iko ICU lakini mbona CCM bado inahangaika nao usiku na Mchana

CCM haijishughulishi Kabisa na ACT Wazalendo, CUF, TLP, Nccr wala Tule tuvyama twingine tudogodogo

Kwanini CHADEMA?🐼
Hakuna upinzaninTz ni saccoss za rudhuku,watu hawana a,b,c hawana plan B,what do you expect,ina haja gani mnakuwa na mavyama mfu kibao,ni Bora kungekua na mlengo wa kushoto na wa kulia,njaa itatuua
 
Back
Top Bottom