Uchaguzi 2020 Kwanini CCM itashinda kirahisi sana

Ngokongosha

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2011
Posts
3,400
Reaction score
7,608
1. Ina Watu wengi wenye mvuto.

Hapa Unaweza kuona ambayo mtu kama Mwana FA anaweza kukusanya watu sawa na anaokusanya Lissu kwenye miji mikubwa. Sijui kama Salum Mwalimu atembee bila Lissu kama atapata watu tofauti na mtu kama Majaliwa, Mama Samia. Nk

Hizi kampeni za CHADEMA viongozi wote wako sehemu moja tena mkutano mmoja kwa siku, Tanzania ni kubwa sana

2. CCM wana details za ndani za vijiji na miji kwamba kuna shida zipi za kutatuliwa na miradi inayoendelea kwa sehemu husika wanapokuwa wakati huo.

3. CCM inaonekana kuwa imejiandaa kwa Uchaguzi angalia mtiririko wa Kampeni hakirukwi kijiji.

Nitaendelea kutoa sababu zaidi, ila ngoje nione maana uhuru wa kutoa maoni hapa upo ila yakiwa tofauti na upinzani thread inaunganishwa na nyingine ndio unakuwa umepotea.
 
Maccm mengine yenye mvuto haya hapa. Ushindi haramu kiwango cha TSUNAMI!

Polepole: CCM kuna majizi makubwa, kila nikitaka kuwataja wakubwa wananizuia! | Hao wakubwa ni nani zaidi ya M/kiti? Ukiwa CCM hukamatiki?

 
Una uwezo mdogo sana kichwani , hivi ulifikaje JF ?
 
Reactions: BAK
Shida za watanzania haziitaji uwe ns details za ndani ssna kwasababu zinafahamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…