Pre GE2025 Kwanini CCM mnafanya kampeni wazi wazi wakati muda wa kampeni bado? Msajili wa Vyama vya Siasa hulioni hili?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha kabisa, hapa nilipo najuta kufanya biashara na serekali, maana toka mwezi April sijalipwa. Sintokaa tena nijichanganye kufanya biashara na serekali ya wahuni.
 
Acha kabisa, hapa nilipo najuta kufanya biashara na serekali, maana toka mwezi April sijalipwa. Sintokaa tena nijichanganye kufanya biashara na serekali ya wahuni.
Ukiwaona huku Barbara na ma stk utadhani wanalo la maana kumbe ni taabu tupu
 
Wanafanya kampeni za kutuuzia yai viza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…