peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Inasikitisha sana, Katibu Mkuu wa chama tawala kupelekwa stand ya mabasi kufanya mkutano na kusikiliza kero za wananchi.
CCM ni kikubwa na kina miaka zaidi ya 40, kwanini kifanyie mkutano stendi ya mabasi?
Wamekosa uwanja wa kufanyia mkutano huo?
Kuna siri kubwa inafichwa na viongozi wa chama mkoa kuupeleka mkutano huo stand?
Tunashauri utafute uwanja mkubwa, viti na mahema yawekwe ili watu wasikilizwe kero wakiwa eneo lililotulia na lenye utulivu.
Stand ya mabasi hapana, tena ni udhalilishaji mkubwa.