Pre GE2025 Kwanini CCM mnapenda kufanyia mikutano ya Katibu Mkuu wa Chama eneo la stendi ya mabasi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
KATIBU MKUU WA CCM DKT EMMANUEL NCHIMBI AITEKA ARUSHA, AZUNGUMZA NA MAELFU YA WANANCHI KILOMBERO SOKONI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Kilombero Sokoni, jijini Arusha, Juni 3, 2024 , katika siku ya pili ya ziara yake mkoani humo, ambayo ameambatana na Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Komredi Amos Gabriel Makalla na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdallah Hamid.

Ziara ya Dk Nchimbi inalenga kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020 - 2025, kuhamasisha uhai wa CCM kuanzia ngazi ya mashina, pamoja na kuzungumza na makundi mbalimbali ya wananchi, kwa ajili ya kusikiliza na kutatua kero zao ambapo pia mkutano huo umehudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa arusha
Mhe.Paul Makonda,Mbunge wa Arusha Mjini (CCM) Mhe.Mrisho Gambo pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali.
 
Back
Top Bottom