peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kwani mnapoandamana pia si mnapita humohumo?Inasikitisha sana, Katibu Mkuu wa chama tawala kupelekwa stand ya mabasi kufanya mkutano na kusikiliza kero za wananchi.
CCM ni kikubwa na kina miaka zaidi ya 40, kwanini kifanyie mkutano stendi ya mabasi?
Wamekosa uwanja wa kufanyia mkutano huo?
Kuna siri kubwa inafichwa na viongozi wa chama mkoa kuupeleka mkutano huo stand?
Tunashauri utafute uwanja mkubwa, viti na mahema yawekwe ili watu wasikilizwe kero wakiwa eneo lililotulia na lenye utulivu.
Stand ya mabasi hapana, tena ni udhalilishaji mkubwa.
Hakukuwa na malori ya kubeba watu kutoka bush-countries warundikwe uwanjani.Stendi tayari zinakuwa na mikusanyiko ya wasafiri,wapiga debe,wachuuzi na watoto wanaochezacheza.Swali lingine muheshimiwa.Inasikitisha sana, Katibu Mkuu wa chama tawala kupelekwa stand ya mabasi kufanya mkutano na kusikiliza kero za wananchi.
CCM ni kikubwa na kina miaka zaidi ya 40, kwanini kifanyie mkutano stendi ya mabasi?
Wamekosa uwanja wa kufanyia mkutano huo?
Kuna siri kubwa inafichwa na viongozi wa chama mkoa kuupeleka mkutano huo stand?
Tunashauri utafute uwanja mkubwa, viti na mahema yawekwe ili watu wasikilizwe kero wakiwa eneo lililotulia na lenye utulivu.
Stand ya mabasi hapana, tena ni udhalilishaji mkubwa.
Jibu ni kwamba kwenye stendi za mabasi watu ni wengi, huwezi kukosa watu pale hata kama hawakusikilizi.Inasikitisha sana, Katibu Mkuu wa chama tawala kupelekwa stand ya mabasi kufanya mkutano na kusikiliza kero za wananchi.
CCM ni kikubwa na kina miaka zaidi ya 40, kwanini kifanyie mkutano stendi ya mabasi?
Wamekosa uwanja wa kufanyia mkutano huo?
Kuna siri kubwa inafichwa na viongozi wa chama mkoa kuupeleka mkutano huo stand?
Tunashauri utafute uwanja mkubwa, viti na mahema yawekwe ili watu wasikilizwe kero wakiwa eneo lililotulia na lenye utulivu.
Stand ya mabasi hapana, tena ni udhalilishaji mkubwa.
Inasikitisha sana, Katibu Mkuu wa chama tawala kupelekwa stand ya mabasi kufanya mkutano na kusikiliza kero za wananchi.
CCM ni kikubwa na kina miaka zaidi ya 40, kwanini kifanyie mkutano stendi ya mabasi?
Wamekosa uwanja wa kufanyia mkutano huo?
Kuna siri kubwa inafichwa na viongozi wa chama mkoa kuupeleka mkutano huo stand?
Tunashauri utafute uwanja mkubwa, viti na mahema yawekwe ili watu wasikilizwe kero wakiwa eneo lililotulia na lenye utulivu.
Stand ya mabasi hapana, tena ni udhalilishaji mkubwa.
Kwahio na wao ni Wahubiri wa UongoHata wahubiri wa Injili huenda Stand za Mabasi ππ₯
Hahaha..Inasikitisha sana, Katibu Mkuu wa chama tawala kupelekwa stand ya mabasi kufanya mkutano na kusikiliza kero za wananchi.
CCM ni kikubwa na kina miaka zaidi ya 40, kwanini kifanyie mkutano stendi ya mabasi?
Wamekosa uwanja wa kufanyia mkutano huo?
Kuna siri kubwa inafichwa na viongozi wa chama mkoa kuupeleka mkutano huo stand?
Tunashauri utafute uwanja mkubwa, viti na mahema yawekwe ili watu wasikilizwe kero wakiwa eneo lililotulia na lenye utulivu.
Stand ya mabasi hapana, tena ni udhalilishaji mkubwa.
Ccm ni chama Cha wazee, hivyo Ili ionekane ina vijana, inabidi ikafanyie mkutano stand maana ndio Kuna vijana kwa wingi. Pia mabasi ya kubeba wasikilizaji inakuwa rahisi kuonekana ni ya abiria wa kawaida hapo stand.Inasikitisha sana, Katibu Mkuu wa chama tawala kupelekwa stand ya mabasi kufanya mkutano na kusikiliza kero za wananchi.
CCM ni kikubwa na kina miaka zaidi ya 40, kwanini kifanyie mkutano stendi ya mabasi?
Wamekosa uwanja wa kufanyia mkutano huo?
Kuna siri kubwa inafichwa na viongozi wa chama mkoa kuupeleka mkutano huo stand?
Tunashauri utafute uwanja mkubwa, viti na mahema yawekwe ili watu wasikilizwe kero wakiwa eneo lililotulia na lenye utulivu.
Stand ya mabasi hapana, tena ni udhalilishaji mkubwa.
Mchungaji Msigwa: Ndani ya Chadema kumejaa Fitina na Uhuni mkubwaKwahio na wao ni Wahubiri wa Uongo
Jikite kwenye mada brooMchungaji Msigwa: Ndani ya Chadema kumejaa Fitina na Uhuni mkubwa
Kwa sababu wapita njia na wasafiri huwa hawakosekani πHata wahubiri wa Injili huenda Stand za Mabasi ππ₯