Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,768
- 49,949
Hawatawapeleka kwa sababu viti maalum huwa ni matokeo ya uchaguzi. Na uchaguzi kwa maana ya uchaguzi haukufanyika.Kwan cdm hawatapeleka wawakilishi?
Maana sijasikia tamko lolote rasmi la chama!!
Sent using Jamii Forums mobile app