Kwanini CCM ya Sasa Imekosa Watetezi kwenye Social Media Mithiri ya Cypirian Musiba na akina Zack wa Twitter?

Kwanini CCM ya Sasa Imekosa Watetezi kwenye Social Media Mithiri ya Cypirian Musiba na akina Zack wa Twitter?

Ndio, kwani huwaoni huko instagram?? au wewe social media unadhani ni nini?? Jana tu baba levo anapiga makelele picha ya mama iwekwe kwenye pesa za bongo tena anaongea huku anatoa mapovu kama yote. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hahaaa
 
Back
Top Bottom