Kwanini celebrities wengi Tanzania hawampi support Diamond??

Mbona mnakuza sana utafikiri, diamond kagombana na media zote za Tanzania, yy kagombana na Clouds na EATV na hivi leo ana interview Timesfm. Alafu sometimes tujiulize kwa nini wao tu EATV na Clouds wamegombana na diamond na si media nyingine.
 
Jux anasapotiwa na wengi ila ana nini cha kumzidi hata aslay au ney wa mitego??

Wabongo wanapenda kubeba wagonjwa na maiti ila walio hai huachwa watembee wenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka kiboya aisee
 
Duh ivi yeye ana support kazi za wenzie nje WCB mfano wimbo wa H Baba ivi au inabidi apewe yeye tu support.
 
Umeua mzee baba [emoji13] [emoji13]
Lazima tuelewe hilo we lini uliona maiti inatembea??? au wagonjwa walio hoi???

Watu timamu kama mondi ndio wanatembea kila kona

Na vichaa kama roma hufungwa kamba au kufungiwa chumbani ndio maana roma hatoki kimataifa ila amezidiwa na akili
 
Yeye anawasapoti?

Ili ule lazima ukubali kuliwa....ili usapotiwe lazima usapoti wenzio

Je ana mahusiano mazuri na wenzie???
 
Kwanza kabla hatujajibu swali lako ilibidi ujiulize kwanza na yeye anatoa support kwa wasanii wenzake?
 
Wanamwonea wivu vibaya mnoo
Watu wasio na Hoja ndio majibu yao tu "WIVU" ,Hivi Diamond watu wamuonee wivu kwa kipi hasa? Kuwa na Zari? Kumiliki Nyumba Madale? X6 ya Dili? Hivi kwa wasanii wenye mafanikio diamond yupo? Labda Mafanikio ya Kibongo......Hivi Ushawahi Kuona wasanii wenye mafanikio na mziki unawalipa kweli kweli? Pitia Profiles za Kina Diddy,Dr. Dre,Jay-Z etc uone investments zao achana hizo za Kuwekwa front na kina Kusaga,hapa nazungumzia investments za wasanii.....Diamond ameinvest kwenye STUDIO tu Wasafi hizo investiments Nyingine ni "MANJEGEKA MSINGI MANENO".
 
Mond asilewe sana umaarufu maana kama mafanikio kashapata asipagawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…