talentboy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 2,104
- 2,073
si kweli,mpk kununua aliinunua!Toa list ya wasanii ambao yeye anawasapoti lakini hawamsapoti....
Hata album ya vanessa tu aliichunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si kweli,mpk kununua aliinunua!Toa list ya wasanii ambao yeye anawasapoti lakini hawamsapoti....
Hata album ya vanessa tu aliichunia
Si rahisi angekuwa wa kuanguka angeshaanguka zamani, fun base alonayo kwa sasa ni kubwa all over africa kwa sasaDiamond baadaye atajikuta amebaki rafiki yake ni Makonda na Lemutuz tuu.
Especially kwakuwa kagombana na media kubwa nyingi.
Pia na yeye siku hizi hachagui maneno ya kuzungumza.Wanaogopa kuwaudhi cloudsmedia...Diva wa cloudsfm amemuita Chibu ni game changer sababu anaona anachoenda kukifanya kwenye hii game ya muziki.
Moja kati ya ngoma matata inayonikosha bailAKasikilize baila kasema wanataka kunishusha hawataki niendelee kwahiyo ukipata muda naomba uniombee.
Aliipost yeye Diamond na Babutale.Toa list ya wasanii ambao yeye anawasapoti lakini hawamsapoti....
Hata album ya vanessa tu aliichunia
Kwa haka kaswali acha ujiite prof.Je na yeye huwa anawasapport hao wasanii wenzake?
Sawa afande seleNdio maana mi anaogopa kutoa single yangu aisee, hawawezi kunisapoti. Acha tu nipotezee
Umeua mzee baba [emoji13] [emoji13]Jux anasapotiwa na wengi ila ana nini cha kumzidi hata aslay au ney wa mitego??
Wabongo wanapenda kubeba wagonjwa na maiti ila walio hai huachwa watembee wenyewe.
comment ya mwakaDiamond hajagombana na media ila media ndio zimegombana na yeye...Yeye alichokosea ni kusimamia maslahi ya biashara zake, angefata utaratibu wao wa biashara angekuwa kipenzi chao kama nandy au aslay..yeye alichosema imetosha
Sawa afande sele