Kwanini celebrities wengi Tanzania hawampi support Diamond??

Kwanini celebrities wengi Tanzania hawampi support Diamond??

Diamond baadaye atajikuta amebaki rafiki yake ni Makonda na Lemutuz tuu.
Especially kwakuwa kagombana na media kubwa nyingi.
Si rahisi angekuwa wa kuanguka angeshaanguka zamani, fun base alonayo kwa sasa ni kubwa all over africa kwa sasa
 
Wanaogopa kuwaudhi cloudsmedia...Diva wa cloudsfm amemuita Chibu ni game changer sababu anaona anachoenda kukifanya kwenye hii game ya muziki.
Pia na yeye siku hizi hachagui maneno ya kuzungumza.
Kwenye interview kasema hategemei promo kutoka kwenye media yoyote Gerald Hando kaandika about it ameshambuliwa kama mpira wa kona na mashabiki
 
Diamond pia Ana mchango katika kunyimwa support na wasanii wake ila najua management ya diamond ndio chanzo cha usenge mwingi [HASHTAG]#haijielewi[/HASHTAG]
 
Unaweza ukakosekana kwenye List ya Fiesta.Msimu wa Fiesta kila msanii anatoa nyimbo,alafu wakichuja wakianza kupiga mahesabu baadaye ndipo, wanajua walikuwa wanaibiwa na mda nao umeshawapita,wanaishia kuponda.
 
Toa list ya wasanii ambao yeye anawasapoti lakini hawamsapoti....
Hata album ya vanessa tu aliichunia
Aliipost yeye Diamond na Babutale.
Capture13.PNG
 
Kitendo tu cha kuzindulia albamu yake nje ya nchi yake kimeongea mengi sana mondi usikate tamaa hakuna mwenye kufurahia mafanikio yako kwa sababu wanatamani wangekua wao [HASHTAG]#haina[/HASHTAG] kufeli#
 
Daimond asistía mkim support Au ndipo msupport ataendelea kuchanja mbuga jamaa ni level nyingine hakuna msanii Wa kumgusa

Ova
 
Kiukweli Diamond ye huwa anachagua wa kuwapa support, kufupi anajitenga na wenzake.
 
Back
Top Bottom