Kwanini CGTN Africa imempa kisogo January Makamba mradi JNHPP?

Kwanini CGTN Africa imempa kisogo January Makamba mradi JNHPP?

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Kitendo cha Televisheni ya Kimataifa ya CGTN Africa kuacha kumpa nafasi Waziri Januari Makamba kwenye ripoti yao kuhusu Bwawa la Nyerere ina maana gani?

Pascal Mayalla hii kitaalam mnaitaje Waziri Mwenye dhamana kukosa nafasi ya kutoa taarifa ya mradi.

 
Walijua ataleta siasa za kujinadi badala ya kutoa taarifa.
 
Angesema mradi ni wazo lake wakati ndio alikua mpingaji.
 
Back
Top Bottom